Kamanda Asiyechoka
JF-Expert Member
- Sep 13, 2020
- 3,315
- 5,058
Nimefuatilia mikutano mbalimbali tunayofanya hapa nchini sioni muitikio wowote kutoka kwa wananchi kuonyesha kuwa wanakubaliana na hii mikutano.
Watu hawana uhakika wa kula, kupeleka watoto shule na hata kupata hela ya kupoza akili. Alafu waje wawasikilize watu wanaoamini wanakula meza moja na CCM inayowaharibia maisha?
Tumebakiza propaganda uchwara Twita kwa kuedit picha ili kuonyesha nyomi la uongo.
Tukubali tulishawakwaza na kuwavunja moyo Watanzania.