Sijaona positive impact ya mikutano ya hadhara tunayofanya. Wananchi wapo busy kutafuta maisha

Sijaona positive impact ya mikutano ya hadhara tunayofanya. Wananchi wapo busy kutafuta maisha

Nimewahi kuuliza kwanin ccm na wafuas wao huitwa nguruwe japo kiongoz wao sio mla nguruwe na sijawahi kupata jibu, naomba jibu.
 
chadema ikosw mvuto kupitia thread yako jf njoo mwanza uulize jana nin kilitokea kuhusu mkutano wa John pambalu na lema ndio utaelewa chadema ni nan hapa nchin.
Usiangalie umati ule, angalia outcome ya wahudhuruaji ambao wanakatishwa tamaa. Mimi nilikuwepo katika mkutano huo. Kabla na baada ni mbingu na jua. Watu wanapoteza matumaini baada ya kuwasikiliza
 
utapigika mpaka uzeeke na mikutano ya hadhara kupitia siasa itakupangia hadi chupi bei yake na hizo kahawa zako utauza sana huku sukuma gang wenzako wakijambajamba hovyo mitandaon maana mwisho wenu ni 2025 tunawafuta kabisa baada ya hapo.
Punguza kujieleza sana chawa wewe
 
Nimefuatilia mikutano mbalimbali tunayofanya hapa nchini sioni muitikio wowote kutoka kwa wananchi kuonyesha kuwa wanakubaliana na hii mikutano.

Watu hawana uhakika wa kula , kupeleka watoto shule na hata kupata hela ya kupoza akili. Alafu waje wawasikilize watu wanaoamini wanakula meza moja na CCM inayowaharibia maisha?

Tumebakiza propaganda uchwara Twita kwa kuedit picha ili kuonyesha nyomi la uongo.

Tukubali tulishawakwa na kuwavunja moyo watanzania.
Kijana wa Lumumba kaz kubwa uliyopewa hapo floor ya kwanza Lumumba ni kuipiga vita CDM kwa kila namna!! Pambana mzee kikubwa mkono uende kinywani!!
 
Kitendo cha kuona ubwabwa na nyama ni anasa inadhihirisha jinsi gani nchi yetu bado ni maskini sana.
Maskini akipata matako hulia pata. Jamaa kukaa nje miaka miwili na kufanikiwa kupata hela ya kununua mchele kwa siku anaona wale wasiokuwa na uwezo huo wana laana.

Sasa siku akiwa waziri au raisi si ndo atawatemea mate kabisa. Hata Yesu hakuwadhihaki watu wa hali ya chini, bali aliwasogelea na kuwafariji.
 
Nimefuatilia mikutano mbalimbali tunayofanya hapa nchini sioni muitikio wowote kutoka kwa wananchi kuonyesha kuwa wanakubaliana na hii mikutano.

Watu hawana uhakika wa kula, kupeleka watoto shule na hata kupata hela ya kupoza akili. Alafu waje wawasikilize watu wanaoamini wanakula meza moja na CCM inayowaharibia maisha?

Tumebakiza propaganda uchwara Twita kwa kuedit picha ili kuonyesha nyomi la uongo.

Tukubali tulishawakwa na kuwavunja moyo Watanzania.
Hakuna mtu anahangaika na machadema na wewe,Watzn wanamfahamu hakuna mwanasiasa atakutafutia maisha hayupo..

Mbaya zaidi hayo machadomo hayana hata ajaenda ya kiuchumi inayoeleweka ,waje humu wajibu ajenda Yao ya uchumi Ili kiwakomboa Watzn ni ipi? Si Bora hata act
 
Nchi hii inawajinga wengi huwezi kuwa mwanachadema halafu hautaki kwenda kwenye mikutano ni Hali ya mtu kutokujitambua na kutokujua haki zako ni mtu alikubali kutawaliwa na wajinga
Uende ukafanye nn?, huo ujinga wanaoufanya ndio ukausikilize?, naichukia ccm pamoja na washirika wao woote,
 
Nimefuatilia mikutano mbalimbali tunayofanya hapa nchini sioni muitikio wowote kutoka kwa wananchi kuonyesha kuwa wanakubaliana na hii mikutano.

Watu hawana uhakika wa kula, kupeleka watoto shule na hata kupata hela ya kupoza akili. Alafu waje wawasikilize watu wanaoamini wanakula meza moja na CCM inayowaharibia maisha?

Tumebakiza propaganda uchwara Twita kwa kuedit picha ili kuonyesha nyomi la uongo.

Tukubali tulishawakwa na kuwavunja moyo Watanzania.
Utaonaje nawe unalipwa kwa kuichafua Chadema humu?
 
Watu washawachoka , unaenda kwenye mkutano unaambiwa Kaz yako ya laana
Mwanza jana walitukanwa Bodaboda na wakaambiwa wale wa Tanga waliomsihi Lema aombe radhi wakamwambie mama yao.
Waliokuwa wakisikiliza hotuba yake waliambiwa ni maskini wa kutupwa ndio maana wapo kwenye mkutano wake badala ya kufanya kazi.
Wenye kumsifia Lema endeleeni.
 
Afajiri nauza kahawa, mchana nauza matunda, usiku naenda kufanya kazi ya ulinzi yaani boli linatembea kinoma muda wa kwenda kudanganywa ili niwatengenezee watu maisha natoa wapi
Unashindana na maisha, maisha hayataki ushindani
 
Back
Top Bottom