Kamanda Asiyechoka
JF-Expert Member
- Sep 13, 2020
- 3,315
- 5,058
Kamanda mwenzetu amekosea sana.Halafu mnawadhihaki wananchi kuhusu bodaboda, vikoba, ugali n.k., mtaendelea kuvuna mnachopanda.
Sent from my Infinix X656 using JamiiForums mobile app
Muda wa kwenda kudanganywa 😂😂🤩Afajiri nauza kahawa, mchana nauza matunda, usiku naenda kufanya kazi ya ulinzi yaani boli linatembea kinoma muda wa kwenda kudanganywa ili niwatengenezee watu maisha natoa wapi
Wewe hutoboi kwa ubize huu. Dunia ya leo wanaotoboa ni "Smartworkers" siyo "Hardworkers" Kama wewe.Afajiri nauza kahawa, mchana nauza matunda, usiku naenda kufanya kazi ya ulinzi yaani boli linatembea kinoma muda wa kwenda kudanganywa ili niwatengenezee watu maisha natoa wapi
Kudanganywa ni ujinga. Na wajinga ndio waliwao.Muda wa kwenda kudanganywa 😂😂🤩
Kutoboa nini mkuu pua au ulimi? Mtaji wa masikini no nguvu zake sio u-smart wakeWewe hutoboi kwa ubize huu. Dunia ya leo wanaotoboa ni "Smartworkers" siyo "Hardworkers" Kama wewe.
Kwahiyo unajiona special saaana! Kumbe hamna kitu.Napiga kazi kuanzia asubuhi saa 1 mpaka saa 11 Jioni naingia tena kazini saa 12 na nusu Jioni mpaka kunakucha majogoo 12 Asubuhi, mda wa mkutano wa hadhara nautoa wapi kimfano?
Mleta mada chakula chake kikuu ni ugali. So anaogopa akifika mkutanoni badala ya kuelezwa sera za chama, atashambuliwa kwa sababu ya ulaji wake wa ugali.Nchi hii inawajinga wengi huwezi kuwa mwanachadema halafu hautaki kwenda kwenye mikutano ni Hali ya mtu kutokujitambua na kutokujua haki zako ni mtu alikubali kutawaliwa na wajinga
Utajua mwenyewe wanasaka Pesa na sisi tunasaka Pesa, majibu unayo no sleep ukilala utakula ulichokiotaKwahiyo unajiona special saaana! Kumbe hamna kitu.
Hauwezi kuona wewe Kamanda Uliyechoka ,ungekuwa haujachoka ungeona impact yake ,si umeona Lema akisema kitu mafisi wanatoka porini na kubweka.
Tuthibitishie hapa kuwa Lema ana biashara yoyote ile zaidi ya siasaKumbe ukweli unaujua?
Lindo unakabidhi muda gani, na kahawa unaindaa muda gani?Afajiri nauza kahawa, mchana nauza matunda, usiku naenda kufanya kazi ya ulinzi yaani boli linatembea kinoma muda wa kwenda kudanganywa ili niwatengenezee watu maisha natoa wapi