Sijaona positive impact ya mikutano ya hadhara tunayofanya. Wananchi wapo busy kutafuta maisha

Tunataka suluhisho la matatizo yetu,siyo kwamba hatuyajui mpaka watu watuambie,mf Kenya Raila Odinga na wanasiasa wa upinzani wanafanya mikutano mada juu ikiwa kushushwa gharama za maisha.

Kwani hapo Canada nini cha ajabu,yaani waafrica kwa utumwa hawajambo.

Siku hizi dunia ni kijiji,watu sio wajinga bana,hata US kuna homeless kibao wanalala kwa street.
Tunataka suluhu umeme,Maji uhakika.
Watu walete solution ya matatizo.
 
ipo siku hutaona. hata umuhimu wa kwenda chooni kwa upumbavu wako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…