Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Don't claim ndugu yangu people differ in their personalities. When come the public interest you must surrender your selfish traits for the welfare of your fellow. Note, wapo watu wanaweza kulitumikia bila makashifa makubwa ya rushwa
Wizi unatokana na hali harisi ya maisha ya kitanzania. Ni swala gumu sana kulikwepa hasa ukiwa kwenye nafasi ya ulaji. Sema ndio ule vizuri, ili hata kikinuka uwe safe side..Tuacheni Unafiki hakuna Mtanzania ambaye akiwekwa katika Nafasi fulani au akipata Wadhifa kwenye Sekta yenye Pesa hatoiba.
Wizi unatokana na hali harisi ya maisha ya kitanzania. Ni swala gumu sana kulikwepa hasa ukiwa kwenye nafasi ya ulaji. Sema ndio ule vizuri, ili hata kikinuka uwe safe side..
Mkuu bila kukosea umesoma sheria sasa nikueleze hao unaowatetea wanafanya makosa ya wazi kabisa kiasi kwamba kila mtu anakuwa anaona yanayofanyika mfano mzuri CAG wamefika hapo baada ya kufanya ukaguzi haraka tu wakaona huo uhalifu yaani watu wanajichukulia pesa za serikali kirahisi tu bila hata wasiwasi na kupeleka nyumbani sasa mtu kama huyo lazima wahusika wamkamate ili ajibu tuhuma yake.Mkuu hiyo ndo Magufuli Legacy!
Weka mtu ndani halafu ndo unatafuta nini cha kumshitaki.
Kweli TAKUKURU na Polisi inabidi wajifunze sheria na haki za watuhumiwa.
Kuna watu wamekaa ndani leo mwaka wa tano, si TAKUKURU wala Polisi wana charges zinazoweza kusimama kisheria.
Hawa TAKUKURU na Polisi wajipime kama kazi yao wanaijua au la.
Weww hujui chochote kuhusu ukaguzi, unajiandikia tu hapa uharo.Ulishawahi kujiuliza ni team gani huwa inamsaidia CAG kukusanya taarifa?
Are you really familiar with the chain of command of the office of CAG in Tanzania? Bara na Visiwani?
Unafahamu ni “special tasks forces” za aina ngapi zinahusishwa during the investigating and collecting of the report?
In short we have NAOT (The National Audit Office of Tanzania), which is the Supreme Audit Institution of the URT, headed by the CAG!
Anahojiwa, sio mahabusu!
Tatizo mna confuse kati ya kumweka mtuhumiwa ndani na kumpeleka mahakamani ili kesi isikilizwe.Mkuu bila kukosea umesoma sheria sasa nikueleze hao unaowatetea wanafanya makosa ya wazi kabisa kiasi kwamba kila mtu anakuwa anaona yanayofanyika mfano mzuri CAG wamefika hapo baada ya kufanya ukaguzi haraka tu wakaona huo uhalifu yaani watu wanajichukulia pesa za serikali kirahisi tu bila hata wasiwasi na kupeleka nyumbani sasa mtu kama huyo lazima wahusika wamkamate ili ajibu tuhuma yake.
Unawasaidia ndugu zako kwa miradi ili kikinuka wakusaidieWizi unatokana na hali harisi ya maisha ya kitanzania. Ni swala gumu sana kulikwepa hasa ukiwa kwenye nafasi ya ulaji. Sema ndio ule vizuri, ili hata kikinuka uwe safe side..
Kama unakula kuleni wote, ili iwe ngumu kufunga staff wote ni ngumu kuwafunga wafanyakazi wote, kinachofachika watafukuza, hamisha na kusimamisha.. kama mnapiga 100%.. unachukua hata 8% au 10% izo tisini hakikisha kila mtu anailamba 😀😀😀.. ili kikinuka muone kama wafafunga wote.. ila sasa ubinafsi mtu anataka ale 95%.. lazima kinuke tu.. utajiri mzuri ni ule wa kidogo kidogoUnawasaidia ndugu zako kwa miradi iki kikinuka wakusaidie