Sijaona sababu za TAKUKURU kumshikilia Mkurugenzi TPA

Sijaona sababu za TAKUKURU kumshikilia Mkurugenzi TPA

Acha ungese wewe kakutwa na bil 3+ nini kingine unataka, msituletee ujinga sa hii
Ni kweli kabisa mijitu ni misenge iiyokubuhu sijui akiwa ni mwanamke ataitwaje km huyu Beatrice Kamugisha Kashaiga anataka kulea madhambi hata kwa ndugu
wanajifanya hawaoni kosa la Kakoko eti halipo katika taarifa za CAG ya 2019/2020
Rais kasema na anataka wakachunguze kuanzia Januari hadi Machi 2021
 
Jamaa jizi kitambo Majaliwa alishindwa kumgusa kwa kuwa ni home boy wa mwenda zake...Mzee hayupo atazitapika tu
 
Tupige Vita kauli mbiu ya uchunguzi unaendelea huku watuhumiwa wakiwa mahabusu.....fanyeni kwa taaluma siyo kwakutaka mwonekane mnajua kutesa watu
Popote pale ukipata tuhuma za jinai kuwekwa mahabusu si Jambo la ajabu
Tuviache vyombo vifanye uchunguzi
 
Nnaona mtoto wa Kakoko kwa jina la Mwafulani Deus Kakoko umekuja kumtetea mshua wako, hapa mnalipa bata mliokula kwa njia za Cross tulia dawa iingie ndio tiba ya uhuni
 
Wewe pia umo kwenye huo ufisadi?
Mnona unaanza kuwa mtetezi, wacha achunguzwe akiwa hana hatia ataachwa.

Wangapi wameshaachiwa na walichunguzwa itakua yeye?

Kama na wewe umo anza kutoa ushilikianao pesa za watanzania mlikuwa mnapeleka wapi?
 
Walipokuwa wanakamatwa watu ambao sio wa mlengo wenu na sisi tukalalamika mlisema kuwa wakiachiwa wataharibu uchunguzi. Hivyo hivyo kwa kakoko akiachiwa ataharibu uchunguzi
 
Kumbuka jamaa alikamatwa akiwa Morogoro alikuwa anataka kukimbia , so ni vema ukakamatwa then uchunguzi uendelee
 
Unachotakiwa kujua kwa sasa ni kuogopa yule malaika anayekulinda wewe na chombo kilichotengenezwa na Mzungu. Hayo mengine unajitaabisha bila sababu.
 
Yaani hii kitu mie nachukia sana. Kwa mfano, Waziri Jafo anaambiwa kafanye uchunguzi, yeye anaagiza kutengua nafasi za wakaguzi wa ndani sijui nini...sasa amejiridhisha kwamba wamefanya ubadhirifu? Wakati mwingine kama ulivyoongea hapa Beatrice Kamugisha , unakuta matumizi ni halali, ila kuna mapungufu ya kufuata sheria, au kukosa stakabadhi . Na mengine uneaweza kuta ni matumizi kwa vimemo vya wakubwa, ambapo mtu wa chini hawezi kumkatalia bila kupata matatizo kazini. Hivyo inatakiwa , kama alivyoagiza Mheshimiwa Raisi Samia, wafanye ukaguzi maalumu na kujirizisha kuwa kuna jinai kabla ya kumkamata mtu! Lakini hapa kwetu TZ, mtu anawekwa rumande kwa tuhuma tu, na upelelezi unafuata baadaye.!! Huu ni uonevu mkubwa sana
 
Weww hujui chochote kuhusu ukaguzi, unajiandikia tu hapa uharo.

Hii ndio shida ya mitandao, kila mtu kujifanya anajua hata asiyoyakua.

Kwa taarifa yako maswali yako yote uliouliza hapo ni uharo tu, hakuna swali la maana.

So Chief, kati yangu mimi na wewe nani Kaharisha hapa?!?

Most times it’s really wise to keep your mouth shut!
 
Back
Top Bottom