Benny Haraba
JF-Expert Member
- Dec 7, 2012
- 13,336
- 12,370
Good thinkingKama unakula kuleni wote, ili iwe ngumu kufunga staff wote ni ngumu kuwafunga wafanyakazi wote, kinachofachika watafukuza, hamisha na kusimamisha.. kama mnapiga 100%.. unachukua hata 8% au 10% izo tisini hakikisha kila mtu anailamba πππ.. ili kikinuka muone kama wafafunga wote.. ila sasa ubinafsi mtu anataka ale 95%.. lazima kinuke tu.. utajiri mzuri ni ule wa kidogo kidogo
Mambo mengine wala sio uchungu na nchi bali wivu unatusumbua.Tuacheni Unafiki hakuna Mtanzania ambaye akiwekwa katika Nafasi fulani au akipata Wadhifa kwenye Sekta yenye Pesa hatoiba.
Kweli kabisaTuacheni Unafiki hakuna Mtanzania ambaye akiwekwa katika Nafasi fulani au akipata Wadhifa kwenye Sekta yenye Pesa hatoiba.
Wacha uwongo labda wewe ndio mwizi na umezaliwa mwizi. Kuna Watanzania wengi tu waadilifu wamekuwa Accounting officers wa miradi na shughuli mbalimbali za serikali na hawajafanya wizi wowote. Je kama ingekuwa unavyoandika hapa si CAG angeripoti zaidi ya 90% ya bajeti kila mwaka imeibwa? WENZAKO NI WAADILIFU IM SORRY FOR YOU.Tuacheni Unafiki hakuna Mtanzania ambaye akiwekwa katika Nafasi fulani au akipata Wadhifa kwenye Sekta yenye Pesa hatoiba.
Ni kweli mkuu hata mimi lazima nitaiba ila kwa akili sana msijue, shida huanza nikishanogewa nitajidhihirisha tuTuacheni Unafiki hakuna Mtanzania ambaye akiwekwa katika Nafasi fulani au akipata Wadhifa kwenye Sekta yenye Pesa hatoiba.
Hilo swala amewahi kuulizwa huyu Boss wa TAKUKURU akasema shida ni 2Nakubaliana na wewe.
Huku kwetu badala wachunguze ndio wakamate, wao wanakamata huku hawajaanza uchunguzi, wanakusumbua na mwisho wa siku wanakosa ushahisi wanakuachia...
Waimba mapambio ya kusifu na kuabudu wamebadili gia angani , aiseee maisha haya .Kachukue nafasi yake ya kukaa ndani sio kila jambo linaloandikwa nawe unakopi tu!
Wacha uwongo labda wewe ndio mwizi na umezaliwa mwizi. Kuna Watanzania wengi tu waadilifu wamekuwa Accounting officers wa miradi na shughuli mbalimbali za serikali na hawajafanya wizi wowote. Je kama ingekuwa unavyoandika hapa si CAG angeripoti zaidi ya 90% ya bajeti kila mwaka imeibwa? WENZAKO NI WAADILIFU IM SORRY FOR YOU.
Nyerere aliiba ngapi ?
Au alikuwa mparestina
Hii ni chaka la kutumia kuonea watu, kuweka satu ndani miaka unasema ushahidi haujakamilika.Hilo swala amewahi kuulizwa huyu Boss wa TAKUKURU akasema shida ni 2
1. Kuna watu wanatumia uwepo wao mtaani kutishia mashahidi au kuharibu ushahidi
2. Kuna watu wameachiwa na wakakimbia(flight risk)
Kama kuna justification, sio shida mtu kuwekwa mahara salama ikiwa kuwepo kwao nje kunaweza kuzuia justice isifanye kazi
Ni kweli, kama hakuna proper justification, ni loophole ya uonevu. Lakini pia ni kweli kuna watu huwa wanakimbia, na kuna watu huwa wanaua mpaka mashahidi.Hii ni chaka la kutumia kuonea watu, kuweka satu ndani miaka unasema ushahidi haujakamilika.