NAGAMAHONGA
JF-Expert Member
- Dec 11, 2012
- 11,131
- 9,301
Euro 2014 keshokutwa tuu ...tusubiri tuone Bellingham ataifanyia nini national team...
Labda Messi awe amestaafu kucheza, tunasubiri tubebe copa America tuchukue ya 8Kumekuwa na kelele mitandaoni kuwa Jude Bellingham anastahili kutwaa tuzo ya Ballo d’or
Msimu huu kwenye Uefa kuanzia hatua ya mtoano mpaka Madrid wanabeba taji sijaona mchango wake walau hata kuamua mechi.
Vini Jr ameshafanya hivyo mara nyingi lakini sifa zote anamwagiwa Jude.
Jude ana kipi haswa cha maana?
Vini ni hatari, madrid wana kikosi cha kutisha.Ila VINI Jr ana balaa yule dogo 🔥🔥
PR au kiherehere tu na makelele mengi yasiyo na kichwa wala miguu, litimu lao lile na ubovu wote huwa wanaamini linaweza kushinda vikombe eti wakati litimu halina hata mtu mmoja anayeweza kupiga chenga😀PR, PR, PR
Waengereza wamewaacha mbali sana wenzao eneo hilo.
Unamaanisha Jude au Toni Kroos ndugu? Dunia ina mengi hii😀Mpira watu wanaangalia ma goal it's okay
Ila Jude ana influence patterns na fluidity ya Madrid
Huyu ana nafasi kubwa sana ukizingatia ana staafu