Sijaona uwezo mkubwa wa Jude Bellingham, hiyo Ballon d’or ni bora apewe Vini Jr

Sijaona uwezo mkubwa wa Jude Bellingham, hiyo Ballon d’or ni bora apewe Vini Jr

Wampe hata kala junior maana wengine tulishachoshwa na vile vizee viwili.CHA URENO NA ARGENTINA.
 
Kumekuwa na kelele mitandaoni kuwa Jude Bellingham anastahili kutwaa tuzo ya Ballo d’or

Msimu huu kwenye Uefa kuanzia hatua ya mtoano mpaka Madrid wanabeba taji sijaona mchango wake walau hata kuamua mechi.

Vini Jr ameshafanya hivyo mara nyingi lakini sifa zote anamwagiwa Jude.

Jude ana kipi haswa cha maana?
Labda Messi awe amestaafu kucheza, tunasubiri tubebe copa America tuchukue ya 8
 
PR, PR, PR
Waengereza wamewaacha mbali sana wenzao eneo hilo.
PR au kiherehere tu na makelele mengi yasiyo na kichwa wala miguu, litimu lao lile na ubovu wote huwa wanaamini linaweza kushinda vikombe eti wakati litimu halina hata mtu mmoja anayeweza kupiga chenga😀
 
Back
Top Bottom