Sijaona viongozi wa Serikali wakiizungumzia Rufiji kama ilivyotokea sehemu nyingine zilizopata majanga

Sijaona viongozi wa Serikali wakiizungumzia Rufiji kama ilivyotokea sehemu nyingine zilizopata majanga

mchawi wa kusini

JF-Expert Member
Joined
Apr 18, 2018
Posts
830
Reaction score
898
Habari JF Kama ilivyo Kichwa Cha habari hapo Juu

Roho inauma sana Sijaona Hata kiongozi mmoja mwenye nyazifa kubwa Kuizungumzia Rufiji, wakati huu mapango wa mafuriko kama kule Bwana la nyerere walifungulia maji ili kunusuri Kuta kubaomoka,vipi mbona Hakuna hata hamamatsu yoyote Kuhusu watu Wa rufiji.

Kwani Rufiji ipo wapi ?? Je ile janga lililotokea manyara mbona serikali ilikimbilia na michango ilipitwa vipi hawa wa rufiji thamani yao ipo wapi ndio maana unaweza kusema watu wa kusini huwa hawathaminini kutokana na haya mambo ,yaliyotokea rufiji.

Niwatakie idi njema lakini ukweli usemqe.
Ahsante .
 
Mafuriko Rufiji siyo habari, tumeanza kusikia muda mrefu kama Mtwara na Lindi.

Manyara ni first time.
 
Habari JF Kama ilivyo Kichwa Cha habari hapo Juu

Roho inauma sana Sijaona Hata kiongozi mmoja mwenye nyazifa kubwa Kuizungumzia Rufiji, wakati huu mapango wa mafuriko kama kule Bwana la nyerere walifungulia maji ili kunusuri Kuta kubaomoka,vipi mbona Hakuna hata hamamatsu yoyote Kuhusu watu Wa rufiji.

Kwani Rufiji ipo wapi ?? Je ile janga lililotokea manyara mbona serikali ilikimbilia na michango ilipitwa vipi hawa wa rufiji thamani yao ipo wapi ndio maana unaweza kusema watu wa kusini huwa hawathaminini kutokana na haya mambo ,yaliyotokea rufiji.

Niwatakie idi njema lakini ukweli usemqe.
Ahsante .
Hawawezi kuzungumzia kwa kirefu kukwepa maswali ya kuwabana kwa sababu wao ndio wamesababisha mafuriko, Manyara ilikuwa natural disaster.

Kuna kiongozi nimemuuliza, nipe jibu la yes or no. Mafuriko yaliyopo Rufiji yamesababishwa na kufungulia maji ya Bwawa la Nyerere kwa wingi ili kulinusuru, yes or no?

Akaanza aah, huwezi kuliweka swali kwa namna hiyo, maana lazima pia uangalie bla blah bla!

Nikamwambia haya, ngoja nikuulize kwa namna nyingine. Kama maji ya Bwawa la Nyerere yangekuwa yamefunguliwa huko nyuma mapema zaidi kwa kiwango cha kawaida, tusingekuwa na mafuriko yanayotokea sasa hivi. Yes or no?

Bado akaanza aah sasa pia lazima uweke unknown factor kwa kuwa huwezi kujua mambo ya mbeleni bla bla bla!

Wajinga hawa watu, hasa wakituona sie ndio wajinga. Wangekuwa China wangepigwa risasi.
 
Back
Top Bottom