Sijaona Wakristo 'wanaotia udhu' kabla ya kusali. Kwanini? Mbona Yesu aliwatawadha miguu wanafunzi wake?

Sijaona Wakristo 'wanaotia udhu' kabla ya kusali. Kwanini? Mbona Yesu aliwatawadha miguu wanafunzi wake?

Nimechagua kuwa moto mie
Ufunuo 3:15-16
"Nayajua matendo yako, kwamba wewe si baridi wala si moto. Afadhali ungekuwa moto au baridi. Hivyo kwa kuwa u vuguvugu, si baridi wala moto, nitakutapika utoke kinywani mwangu."
Sawa Mama mchungaji.
 
😀Amechangamka kama Eric Cantona wa Man Utd
Duh, Mzee wangu, unaleta tena mpira hapa?
 
Unaweza kuniambia kwa nini ukipanda kitandani au ukiingia ndani unavua viatu lakini nyumba ya ibada hauvui?
 
Back
Top Bottom