Sawa Mama mchungaji.Nimechagua kuwa moto mie
Ufunuo 3:15-16
"Nayajua matendo yako, kwamba wewe si baridi wala si moto. Afadhali ungekuwa moto au baridi. Hivyo kwa kuwa u vuguvugu, si baridi wala moto, nitakutapika utoke kinywani mwangu."
😀Amechangamka kama Eric Cantona wa Man UtdUmechangamka sana..
Duh, Mzee wangu, unaleta tena mpira hapa?😀Amechangamka kama Eric Cantona wa Man Utd
Your question is a bit offbeat, Sir.Unaweza kuniambia kwa nini ukipanda kitandani au ukiingia ndani unavua viatu lakini nyumba ya ibada hauvui?