Sijaona watu wakilaani na kumkejeli Lionel Mess

Povu sasa hli
 
Huko si ndiyo kukata tamaaa[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Ugomvi wa nani zaidi kati ya Messi na Ronaldo hautakaa uishe. Kila mmoja ana washabiki wake wengi tu. Kila mmoja ana dizaini yake ya uchezaji. Kila mmoja ana mapungufu na strength zake. Kila mmoja amefika kilele cha soka kwa njia yake kabisa.

Kifupi hakuna mizani nzuri ya kuwapimia hawa jamaa isiwe na upendeleo upande mmoja. Hakuna unit moja ya kuwalinganishia hawa jamaa.

I declare kuwa mimi ni shabiki damu wa CR7...na naamini nitaachana na soka siku akistaafu huyu jamaa. Ila kwakua najua ugumu wa kuwapima yeye vs. Messi basi huwa sibishani na mtu yeyote. Kwangu wote ni bora kwa namna zao.
 
Ha ha ha aliye toa huu uzi inaonesha ni mshabiki wa cr7
Messi na Ronaldo both are great players..
 
Off course ni povu maana kuchukua uchezaj bora wa dunia Mara tano si mchezo haaaaaaHahaaaa

Na haikutokea kwa mchezaji yeyote kufikia hizo 5, 2013 aliikosa tu kwa sababu alikuwa majeruhi, kama sio majeruhi..now tungezungumzia 6 d'Or, and thic year anapiga cha 6 mamaee chezea Rosario Man
 
Mashabiki wa giveupessi wakimsifia ndo wana ita facts
Ila ukija ukamponda utaskia hujui mpira

Nsha wazoea

Sasa wewe ushaona wapi mchezaji anasifiwa without facts and evidence? Basi utakuwa sio football fan haswaa
 
Sasa wewe ushaona wapi mchezaji anasifiwa without facts and evidence? Basi utakuwa sio football fan haswaa
Facts mnazo nyie tuu, na mnacho ongea nyie tuu ndo fact!!! Na kauli zenu ndo hizo hizo za kujifanya wanaojua mpira ndo wana msifia[emoji107] [emoji107] [emoji107]

Watoto wa messi mna nshangazaga sana
 
Futa povu mzeee. Messi kastaafu baada ya kukosa penalty
Mimi napenda mpira....
Na hilo sio povu,ni tathmini ya uelewa wa soka wa mleta uzi huu.
Kaandika kishabiki.
Kwahiyo na wewe grow up kidogo basi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…