Sijaona watu wakilaani na kumkejeli Lionel Mess

Sijaona watu wakilaani na kumkejeli Lionel Mess

Kiukweli una uelewa mdogo sana wa kabumbu.
Pili acha ushabiki...Lengo la huu uzi ni lipi hasa
°Kumnanga messi
°Kumsifia CR 7!?!?
Kua mtu wa mpira bhana...
Na unatakwimu zipi za kuback up claims zako kwamba Messi hakustahili tuzo mbili alizopata za uchezaji bora wa dunia.
Kama ni hivyo mashabiki wa messi unataka wao pia waseme CR 7 alistahili tuzo moja tu na zingine zilikua kwa ajili ya mbeleko!
Raha ya soka sio maneno maneno ya kwenye gahawa,njoo na takwimu spot ili tuinjoy mazungumzo.
Povu sasa hli
 
Acha kujisemea, Albiceleste imetinga 4times fainali bila kikombe ndicho kilichompelekea astaafu, final 3 zilipigwa kwa matuta,na final moja alifungwa na ujerumani goli la kuotea dkk za lala salama! pia nawahakikishia ninyi wachache mliobakia wenye chuki na huyu mfalme na timu yake ya taifa na Barcelona kuwa soon atarejea kikosini.huu ndiyo ukweli halisi
Huko si ndiyo kukata tamaaa[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Ugomvi wa nani zaidi kati ya Messi na Ronaldo hautakaa uishe. Kila mmoja ana washabiki wake wengi tu. Kila mmoja ana dizaini yake ya uchezaji. Kila mmoja ana mapungufu na strength zake. Kila mmoja amefika kilele cha soka kwa njia yake kabisa.

Kifupi hakuna mizani nzuri ya kuwapimia hawa jamaa isiwe na upendeleo upande mmoja. Hakuna unit moja ya kuwalinganishia hawa jamaa.

I declare kuwa mimi ni shabiki damu wa CR7...na naamini nitaachana na soka siku akistaafu huyu jamaa. Ila kwakua najua ugumu wa kuwapima yeye vs. Messi basi huwa sibishani na mtu yeyote. Kwangu wote ni bora kwa namna zao.
 
Ha ha ha aliye toa huu uzi inaonesha ni mshabiki wa cr7
Messi na Ronaldo both are great players..
 
Off course ni povu maana kuchukua uchezaj bora wa dunia Mara tano si mchezo haaaaaaHahaaaa

Na haikutokea kwa mchezaji yeyote kufikia hizo 5, 2013 aliikosa tu kwa sababu alikuwa majeruhi, kama sio majeruhi..now tungezungumzia 6 d'Or, and thic year anapiga cha 6 mamaee chezea Rosario Man
 
Ha ha ha aliye toa huu uzi inaonesha ni mshabiki wa cr7
Messi na Ronaldo both are great players..

Ndiyo maana nikasema huu uzi wa kishabiki, huwezi ukawalinganisha eti Simba na mbweha wakawa sawa ki-uwezo, Mfalme ataendelea kuumiza watu vichwa

Screenshot_2016-06-21-14-32-57-1-1.png
 
Mashabiki wa giveupessi wakimsifia ndo wana ita facts
Ila ukija ukamponda utaskia hujui mpira

Nsha wazoea

Sasa wewe ushaona wapi mchezaji anasifiwa without facts and evidence? Basi utakuwa sio football fan haswaa
 
Sasa wewe ushaona wapi mchezaji anasifiwa without facts and evidence? Basi utakuwa sio football fan haswaa
Facts mnazo nyie tuu, na mnacho ongea nyie tuu ndo fact!!! Na kauli zenu ndo hizo hizo za kujifanya wanaojua mpira ndo wana msifia[emoji107] [emoji107] [emoji107]

Watoto wa messi mna nshangazaga sana
 
Futa povu mzeee. Messi kastaafu baada ya kukosa penalty
Mimi napenda mpira....
Na hilo sio povu,ni tathmini ya uelewa wa soka wa mleta uzi huu.
Kaandika kishabiki.
Kwahiyo na wewe grow up kidogo basi.
 
Back
Top Bottom