Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Povu sasa hliKiukweli una uelewa mdogo sana wa kabumbu.
Pili acha ushabiki...Lengo la huu uzi ni lipi hasa
°Kumnanga messi
°Kumsifia CR 7!?!?
Kua mtu wa mpira bhana...
Na unatakwimu zipi za kuback up claims zako kwamba Messi hakustahili tuzo mbili alizopata za uchezaji bora wa dunia.
Kama ni hivyo mashabiki wa messi unataka wao pia waseme CR 7 alistahili tuzo moja tu na zingine zilikua kwa ajili ya mbeleko!
Raha ya soka sio maneno maneno ya kwenye gahawa,njoo na takwimu spot ili tuinjoy mazungumzo.
Off course ni povu maana kuchukua uchezaj bora wa dunia Mara tano si mchezo haaaaaaHahaaaaPovu sasa hli
Huko si ndiyo kukata tamaaa[emoji23] [emoji23] [emoji23]Acha kujisemea, Albiceleste imetinga 4times fainali bila kikombe ndicho kilichompelekea astaafu, final 3 zilipigwa kwa matuta,na final moja alifungwa na ujerumani goli la kuotea dkk za lala salama! pia nawahakikishia ninyi wachache mliobakia wenye chuki na huyu mfalme na timu yake ya taifa na Barcelona kuwa soon atarejea kikosini.huu ndiyo ukweli halisi
[emoji87] [emoji87] [emoji86] [emoji86] kheeee we jamaa povu basiAlaf we jamaa unaongea sana utafikiri unalijua soka kumbe 0
[emoji90] [emoji90] [emoji90] [emoji90] [emoji90] yanakutoka hukooo .... Hiiii ni ukweliHii thread imekaa kishabiki mno,
Nashangaa wanaokejeli ilihali ni ukweli mtupu[emoji106] [emoji106] [emoji106] [emoji106] [emoji109] [emoji109] [emoji109] [emoji109]Nesi ni hopeless yule..
Mtoa mada uko sahihi sana.
Tena yanamtoka sanaaa[emoji87] [emoji87] [emoji87] [emoji87]Povu sasa hli
Si zingine ni kama alikuwa anapewa kama Shukrani ya kipekee from sep Blatter [emoji86]Off course ni povu maana kuchukua uchezaj bora wa dunia Mara tano si mchezo haaaaaaHahaaaa
[emoji106] [emoji106] [emoji106] [emoji106] [emoji106] [emoji106] [emoji106] [emoji106] [emoji106]Nesi ni hopeless yule..
Mtoa mada uko sahihi sana.
Mashabiki wa giveupessi wakimsifia ndo wana ita factsTena yanamtoka sanaaa[emoji87] [emoji87] [emoji87] [emoji87]
Shukran ya nn?Si zingine ni kama alikuwa anapewa kama Shukrani ya kipekee from sep Blatter [emoji86]
Off course ni povu maana kuchukua uchezaj bora wa dunia Mara tano si mchezo haaaaaaHahaaaa
Ha ha ha aliye toa huu uzi inaonesha ni mshabiki wa cr7
Messi na Ronaldo both are great players..
Mashabiki wa giveupessi wakimsifia ndo wana ita facts
Ila ukija ukamponda utaskia hujui mpira
Nsha wazoea
Facts mnazo nyie tuu, na mnacho ongea nyie tuu ndo fact!!! Na kauli zenu ndo hizo hizo za kujifanya wanaojua mpira ndo wana msifia[emoji107] [emoji107] [emoji107]Sasa wewe ushaona wapi mchezaji anasifiwa without facts and evidence? Basi utakuwa sio football fan haswaa
Mimi napenda mpira....Futa povu mzeee. Messi kastaafu baada ya kukosa penalty