Sijapenda Roboti wa Bungeni kutumia jina la mzazi wangu

si bora kapewa uyo roboti hana makuu,,kuna majina ya wazee wetu wanapewa watu na tabia zao pasono😁
Sina shida na majina ya wazee wetu kutumika kwa watu wengine hata kama hawaendani na hayo majina.

Ila kwa lisanamu kutumia jina la mzazi wangu sijapenda kabisa
 
Watu wanampenda mama kweli kweli sijui kwanini hawakumuita SAMIA kama njia ya kuonyesha wanampenda kiukweli kweli😁😁😁
 
Eunice ni jina la kizungu, hivyo huenda kuna mzungu mwenye hilo jina anasikitika kusikia mama yako anatumia jina lake
Eunice ni jina la mwanamke mcha Mungu aliyeishi huko Efeso, wewe Unaposema ni jina la kizungu unamaanisha ni mzungu wa unga ama mzungu yupi?
 
Watu wanampenda mama kweli kweli sijui kwanini hawakumuita SAMIA kama njia ya kuonyesha wanampenda kiukweli kweli😁😁😁
Mkuu upo karibu na mwanasheria wako?

Naona umeanza chokochoko šŸ˜‚
 
Kuwa kuna watu wanatumia jina la Mtu bila kibališŸ¤”
Sina shida na watu kutumia majina ya watu wenzao.

Shida yangu ipo kwa lisanamu kupewa jina la mtu mwenye heshima zake kidini.

Sijapenda kwa kweli.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…