Baba Kisarii
JF-Expert Member
- May 7, 2024
- 1,844
- 3,089
- Thread starter
-
- #41
Sijamaanisha kuwa siruhusu mtu yeyote kutumia jina hilo.Unaweza kufungua kesi ya madai mkuu.mshitaki nape nauye Kwa kutumia jina la mama Yako pasipo idhini Yako.
Sina hasira zenye kuzaa hasara, hivyo siwezi peleka hasira zangu bungeni.Eh shughuli ipo wafungulie mashtaka wanakuzoea au nenda bungeni ukimwona huyo robot mbomoe bomoe hutamsikia tena
Wachawi hawana huo ubavuutakuja kulogwa bure kwa kutaja jina la mama yako
Kuna kichekesho hapa?Aisee! Ni mara chache sana kuingia Jf nikalog in bila kupata kitu cha kunichekesha.
Lingekuwa na muonekano mzuri na umahiri,lingepewa lile jina nambari one!
Najaribu tu kumwonyesha mama nampenda kama wale wanaovaa picha yake,shida iko wapi jamani??Mkuu upo karibu na mwanasheria wako?
Naona umeanza chokochoko 😂
Jitahidi sasa usijioneshe kama unamkebehi maza mpendwa wa watuNajaribu tu kumwonyesha mama nampenda kama wale wanaovaa picha yake,shida iko wapi jamani??
Tangu lini kinyago kikaenziwa?Labda wanamuenzi
Kujichora?Kujichora mkuu….
Asante mkuu, Ila inauma sana, najua ipo siku nitapambana uso kwa uso na ex wangu kisha atanipa hi kwa kuniita mwana wa robot, na hiyo siku nitalala selo hakika.
Hapa simlaumu Roboti aliyepewa jina la Eunice bali namlaumu mwanadamu aliyempatia huyo robot jina hilo ambalo mama yangu amelitumia kwa muda mrefu.
Mama alipewa jina hilo baada ya kubatizwa na kuwa mkristo kamili, huu ni mwaka wa 75 tangu mama aanze kulitumia jina la Eunice.
Yaani nimeumia sana kwa hilo lisanamu kupewa jina la mama yangu kipenzi na mcha Mungu kama bibi yake Timotheo yule mtoto wa kiimani wa mtume Paulo.
Ombi langu kwa sasa ni Mungu aingilie kati kushughulika na hao wote walioshiriki huo ujinga wa kugawa jina la mama mcha Mungu, litumike kwa lisanamu.
Dhihaka zikafike tamati kwa kuharibu kila kilichotumika kutengeneza hilo lisanamu.
Na iwe hivyo.
We muana unanitafuta eeeeh!Baba kisarii mwana wa robot 🤣🤣🤣
Hilo jina linafaa kwa kweli.Toy liitwe tulinape
Tulinape anakulatu upepo mjengoni sisi tunakula vumbi na juaHilo jina linafaa kwa kweli.
Ni ujinga wetu ndio unasababisha tule vumbi.Tulinape anakulatu upepo mjengoni sisi tunakula vumbi na jua