Sijapendezwa Mkutano Mkuu wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo kugeuka ni rege music club, Mmeshavuka level hizi

britanicca

JF-Expert Member
Joined
May 20, 2015
Posts
16,295
Reaction score
33,994
Nimeshangaa sana Chama ambacho ndo ventilation yetu kwenye nchi tunaanza kuonekana Kama ka kundi fulani ambako hakana dira!

Weka kichwani waza nchi ilojaa nyimbo za kizalendo nyingi, wao pia wenyewe wana nyimbo zao za uzalendo Lakin Mkutano mkuu wanaruka rege nankukanyaganaa


Ni ama kuna Uhuni ndani ya Chama mahali fulani , Au haya mambo Mwenyekiti atawakanya baadae,

Weka kichwani Mkutano wa kujadili mambo ya msingi ya maana inachezwa rege,

“WEKA REGE TURUKE NA CHEGE WEE HILI DUDE BWANA WEE LA KIMATAIFA”


Tunatakiwa kuangalia upya mwelekeo wetu


Britanicca
 
Nimeliona pia hilo sijapenda ila nadhani Hotuba ya Mbowe imejaa hekima zaidi ngoja tusikilize
 
Subiri uondoke JF kama ulivyoahidi , na ukigoma tutakuondoa kwa nguvu .
 
We kama umekosa hoja nenda kalale mbonaaa ccm zinapikwa nyimbooo kibao tyu leta hoja ya msingiiii
 
Wewe CCM umefuta nini kwenye mikutano ya watu?
 
Ila umependezwa na kinachoendelea kujadiliwa bungeni
 
Mkuu kwani mimba yako ina miezi mingapi? Mbona umechachamaa hivyo kama unataka kuzaa?
 
Nyie Mataga Mwanzo mlisems CHADEMA imekufa,Leo mmekuja na igizo lingine.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…