Sijapendezwa Mkutano Mkuu wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo kugeuka ni rege music club, Mmeshavuka level hizi

Nimeshangaa sana Chama ambacho ndo ventilation yetu kwenye nchi tunaanza kuonekana Kama ka kundi fulani ambako hakana dira!

Weka kichwani waza nchi ilojaa nyimbo za kizalendo nyingi, wao pia wenyewe wana nyimbo zao za uzalendo Lakin Mkutano mkuu wanaruka rege nankukanyaganaa

Ni ama kuna Uhuni ndani ya Chama mahali fulani , Au haya mambo Mwenyekiti atawakanya baadae,

Weka kichwani Mkutano wa kujadili mambo ya msingi ya maana inachezwa rege,

“WEKA REGE TURUKE NA CHEGE WEE HILI DUDE BWANA WEE LA KIMATAIFA”

Tunatakiwa kuangalia upya mwelekeo wetu

Britanicca
Punguani wewe, ccm mbona mnaimba ujinga mtupu

Sent from my SM-G973U using JamiiForums mobile app
 
Nimeshangaa sana Chama ambacho ndo ventilation yetu kwenye nchi tunaanza kuonekana Kama ka kundi fulani ambako hakana dira!

Weka kichwani waza nchi ilojaa nyimbo za kizalendo nyingi, wao pia wenyewe wana nyimbo zao za uzalendo Lakin Mkutano mkuu wanaruka rege nankukanyaganaa

Ni ama kuna Uhuni ndani ya Chama mahali fulani , Au haya mambo Mwenyekiti atawakanya baadae,

Weka kichwani Mkutano wa kujadili mambo ya msingi ya maana inachezwa rege,

“WEKA REGE TURUKE NA CHEGE WEE HILI DUDE BWANA WEE LA KIMATAIFA”

Tunatakiwa kuangalia upya mwelekeo wetu

Britanicca
kama hujapendezwa jinyonge tu
 
Mh! Confirmed kumbe wewe uko hivyo kiasi hiki! Huwa nakupa credit Sana kumbe!
 
Hicho ndicho umeona ila speech anayoitoa Mh Mbowe sasa hivi hujaiona, labda ni upeo mdogo ulionao wa kushindwa kung'amua hoja za msingi anazoziongelea.!
Huyu Britannica Ni mtupu Sana kichwani. Nadhani Ni Msukuma wa Geita
 
Nimeshangaa sana Chama ambacho ndo ventilation yetu kwenye nchi tunaanza kuonekana Kama ka kundi fulani ambako hakana dira!

Weka kichwani waza nchi ilojaa nyimbo za kizalendo nyingi, wao pia wenyewe wana nyimbo zao za uzalendo Lakin Mkutano mkuu wanaruka rege nankukanyaganaa

Ni ama kuna Uhuni ndani ya Chama mahali fulani , Au haya mambo Mwenyekiti atawakanya baadae,

Weka kichwani Mkutano wa kujadili mambo ya msingi ya maana inachezwa rege,

“WEKA REGE TURUKE NA CHEGE WEE HILI DUDE BWANA WEE LA KIMATAIFA”

Tunatakiwa kuangalia upya mwelekeo wetu

Britanicca

Niwatetee wazee wa maandamano...🤣

Mbona akina Zuchu na wengineo tunazirusha nyimbo zao katika mikutano ya hadhara ya CCM?!!!

Hata mkutano mkuu huwa nyimbo hizo hupigwa na kurushwa....umemsahau komredi Polepole na wasanii wake ?!!!

#Siempre JMT🙏
 
Kule CCM ni taarabu hadi zimeingia kwenye royal tour.!
 
Hakuna chama kule, yaani hao wanahitaji kulelewa Sana..

Utasikia eti nao wanataka wapewe Nchi 😂😂
 
Nimeshangaa sana Chama ambacho ndo ventilation yetu kwenye nchi tunaanza kuonekana Kama ka kundi fulani ambako hakana dira!

Weka kichwani waza nchi ilojaa nyimbo za kizalendo nyingi, wao pia wenyewe wana nyimbo zao za uzalendo Lakin Mkutano mkuu wanaruka rege nankukanyaganaa

Ni ama kuna Uhuni ndani ya Chama mahali fulani , Au haya mambo Mwenyekiti atawakanya baadae,

Weka kichwani Mkutano wa kujadili mambo ya msingi ya maana inachezwa rege,

“WEKA REGE TURUKE NA CHEGE WEE HILI DUDE BWANA WEE LA KIMATAIFA”

Tunatakiwa kuangalia upya mwelekeo wetu

Britanicca
Badala ya kuwa busy na bwana zako sukuma gang ili kisukuma kiwe rugha ya Taifa umekalia tu mambo ya chadema, hivi nyie chawa wa ccm uwa amna kazi za kufanya zaidi ya upambe??embu badilikeni maisha ya upambe yana mwisho.

Sent from my SM-A037G using JamiiForums mobile app
 
Niwatetee wazee wa maandamano...🤣

Mbona akina Zuchu na wengineo tunazirusha nyimbo zao katika mikutano ya hadhara ya CCM?!!!

Hata mkutano mkuu huwa nyimbo hizo hupigwa na kurushwa....umemsahau komredi Polepole na wasanii wake ?!!!

#Siempre JMT🙏
Sisemi kwamba CCM hawana Upuuzi ila umeanza hapa juzi juzi
 
Back
Top Bottom