Liwagu
JF-Expert Member
- Jan 25, 2017
- 5,593
- 6,754
Mboe anakazikubwa sana kuongoza hawa mihemko, hawajawahi kuwa serious.[emoji23] [emoji23] [emoji23] Chadema wana ujinga mwingi sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mboe anakazikubwa sana kuongoza hawa mihemko, hawajawahi kuwa serious.[emoji23] [emoji23] [emoji23] Chadema wana ujinga mwingi sana
Watamila iwe Mwana inye nomanya anga?Huyu dogo mjinga kweli au ana Mimba?
Mkuu twende Kule kwa kimataifa tukawakalishe warusi wa bongo sababu huku la siasa naona umevuta kitu cha olkokola.Nani kakwambia nataka heshima?
Hahaha sureMkuu twende Kule kwa kimataifa tukawakalishe warusi wa bongo sababu huku la siasa naona umevuta kitu cha olkokola.
Punguani wewe, ccm mbona mnaimba ujinga mtupuNimeshangaa sana Chama ambacho ndo ventilation yetu kwenye nchi tunaanza kuonekana Kama ka kundi fulani ambako hakana dira!
Weka kichwani waza nchi ilojaa nyimbo za kizalendo nyingi, wao pia wenyewe wana nyimbo zao za uzalendo Lakin Mkutano mkuu wanaruka rege nankukanyaganaa
Ni ama kuna Uhuni ndani ya Chama mahali fulani , Au haya mambo Mwenyekiti atawakanya baadae,
Weka kichwani Mkutano wa kujadili mambo ya msingi ya maana inachezwa rege,
“WEKA REGE TURUKE NA CHEGE WEE HILI DUDE BWANA WEE LA KIMATAIFA”
Tunatakiwa kuangalia upya mwelekeo wetu
Britanicca
kama hujapendezwa jinyonge tuNimeshangaa sana Chama ambacho ndo ventilation yetu kwenye nchi tunaanza kuonekana Kama ka kundi fulani ambako hakana dira!
Weka kichwani waza nchi ilojaa nyimbo za kizalendo nyingi, wao pia wenyewe wana nyimbo zao za uzalendo Lakin Mkutano mkuu wanaruka rege nankukanyaganaa
Ni ama kuna Uhuni ndani ya Chama mahali fulani , Au haya mambo Mwenyekiti atawakanya baadae,
Weka kichwani Mkutano wa kujadili mambo ya msingi ya maana inachezwa rege,
“WEKA REGE TURUKE NA CHEGE WEE HILI DUDE BWANA WEE LA KIMATAIFA”
Tunatakiwa kuangalia upya mwelekeo wetu
Britanicca
Mh! Confirmed kumbe wewe uko hivyo kiasi hiki! Huwa nakupa credit Sana kumbe!Nimeshangaa sana Chama ambacho ndo ventilation yetu kwenye nchi tunaanza kuonekana Kama ka kundi fulani ambako hakana dira!
Weka kichwani waza nchi ilojaa nyimbo za kizalendo nyingi, wao pia wenyewe wana nyimbo zao za uzalendo Lakin Mkutano mkuu wanaruka rege nankukanyaganaa
Ni ama kuna Uhuni ndani ya Chama mahali fulani , Au haya mambo Mwenyekiti atawakanya baadae,
Weka kichwani Mkutano wa kujadili mambo ya msingi ya maana inachezwa rege,
“WEKA REGE TURUKE NA CHEGE WEE HILI DUDE BWANA WEE LA KIMATAIFA”
Tunatakiwa kuangalia upya mwelekeo wetu
Britanicca
Huyu Britannica Ni mtupu Sana kichwani. Nadhani Ni Msukuma wa GeitaHicho ndicho umeona ila speech anayoitoa Mh Mbowe sasa hivi hujaiona, labda ni upeo mdogo ulionao wa kushindwa kung'amua hoja za msingi anazoziongelea.!
Au ndiye Dan Namlison!wewe jamaa mbona una heshima kubwa tu humu,au umevuta bangi?
Umevuta bangi mbichiNani kakwambia nataka heshima?
Nimeshangaa sana Chama ambacho ndo ventilation yetu kwenye nchi tunaanza kuonekana Kama ka kundi fulani ambako hakana dira!
Weka kichwani waza nchi ilojaa nyimbo za kizalendo nyingi, wao pia wenyewe wana nyimbo zao za uzalendo Lakin Mkutano mkuu wanaruka rege nankukanyaganaa
Ni ama kuna Uhuni ndani ya Chama mahali fulani , Au haya mambo Mwenyekiti atawakanya baadae,
Weka kichwani Mkutano wa kujadili mambo ya msingi ya maana inachezwa rege,
“WEKA REGE TURUKE NA CHEGE WEE HILI DUDE BWANA WEE LA KIMATAIFA”
Tunatakiwa kuangalia upya mwelekeo wetu
Britanicca
Nimeshangaa sana Chama ambacho ndo ventilation yetu kwenye nchi tunaanza kuonekana Kama ka kundi fulani ambako hakana dira!
Weka kichwani waza nchi ilojaa nyimbo za kizalendo nyingi, wao pia wenyewe wana nyimbo zao za uzalendo Lakin Mkutano mkuu wanaruka rege nankukanyaganaa
Ni ama kuna Uhuni ndani ya Chama mahali fulani , Au haya mambo Mwenyekiti atawakanya baadae,
Weka kichwani Mkutano wa kujadili mambo ya msingi ya maana inachezwa rege,
“WEKA REGE TURUKE NA CHEGE WEE HILI DUDE BWANA WEE LA KIMATAIFA”
Tunatakiwa kuangalia upya mwelekeo wetu
Britanicca
Badala ya kuwa busy na bwana zako sukuma gang ili kisukuma kiwe rugha ya Taifa umekalia tu mambo ya chadema, hivi nyie chawa wa ccm uwa amna kazi za kufanya zaidi ya upambe??embu badilikeni maisha ya upambe yana mwisho.Nimeshangaa sana Chama ambacho ndo ventilation yetu kwenye nchi tunaanza kuonekana Kama ka kundi fulani ambako hakana dira!
Weka kichwani waza nchi ilojaa nyimbo za kizalendo nyingi, wao pia wenyewe wana nyimbo zao za uzalendo Lakin Mkutano mkuu wanaruka rege nankukanyaganaa
Ni ama kuna Uhuni ndani ya Chama mahali fulani , Au haya mambo Mwenyekiti atawakanya baadae,
Weka kichwani Mkutano wa kujadili mambo ya msingi ya maana inachezwa rege,
“WEKA REGE TURUKE NA CHEGE WEE HILI DUDE BWANA WEE LA KIMATAIFA”
Tunatakiwa kuangalia upya mwelekeo wetu
Britanicca
Sisemi kwamba CCM hawana Upuuzi ila umeanza hapa juzi juziNiwatetee wazee wa maandamano...🤣
Mbona akina Zuchu na wengineo tunazirusha nyimbo zao katika mikutano ya hadhara ya CCM?!!!
Hata mkutano mkuu huwa nyimbo hizo hupigwa na kurushwa....umemsahau komredi Polepole na wasanii wake ?!!!
#Siempre JMT🙏
Juzi baada ya komredi Polepole kuwa mwenezi eee?!! So ndio eee?!!Sisemi kwamba CCM hawana Upuuzi ila umeanza hapa juzi juzi