Sijapendezwa Mkutano Mkuu wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo kugeuka ni rege music club, Mmeshavuka level hizi

MaCHADEMA ni vichaa hawana sera wala dira kwani hujui Bwashee. Polisi lindeni sana guest za Sinza leo yaani and wazinzi wapo mkusanyo.
 
Du we choko huna kazi ya kufanya?
 
Kuna mwanaume mmoja hapa kwenye video anaiangalia camera,analamba sana midomo,

Mlio karibu nae mmwambie ajiangalie,hapa mjini watu hawaachi kitu
 
Inakuuma
 
We jamaa vala Sana. Ulisikia zuchu alipoimba mkutano was cm? Aliimba wimbo gan mbele ya rais?
 
Hujajitoa JF?

Sent from my M2003J15SC using JamiiForums mobile app
 
Hicho ndicho umeona ila speech anayoitoa Mh Mbowe sasa hivi hujaiona, labda ni upeo mdogo ulionao wa kushindwa kung'amua hoja za msingi anazoziongelea.!
Spichi gani ya fisadi anashirikiana na born town kufirisi nchi
 
Mbona chama cha Kijani wanapiga sana nyimbo za ujinga ujinga kama za kina sharo mwamba, Zuchu nk ambazo hazina ujumbe zaidi ya kuchochea uzinzi tu.
 
Kazi ya mziki - ni burudani, unaunganisha, unaopunguza stress na unakuandaa kuwa mtulivu na mwenye furaha. Kwa jambo linaloenda kujadiliwa, ni bora kutanguliza mziki. Hata kwenye maomboleza kuna mziki Namkumbuka Marehemu Remy Ongala (RIP)
 
MaCHADEMA ni vichaa hawana sera wala dira kwani hujui Bwashee. Polisi lindeni sana guest za Sinza leo yaani and wazinzi wapo mkusanyo.

Kazi ya Polisi sio kulinda gesti bwashee.[emoji1787][emoji1787]
 
Na kule CCM ni bongo flavor,rusha roho na sebene Hadi singeri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…