CAPO DELGADO
JF-Expert Member
- Aug 31, 2020
- 8,542
- 18,340
Shukrani kwa kuniita MBUMBUMBU.
🙏
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kama jambo hulijui bora kunyamaza kimya. unajua wiki ya simba ni kwa ajili ya nini ? Unajua kuna hospitali za mama na mtoto Dar na Zanzibar zinajengwa ? Kwa taarifa yako mauzo yote ya leo wala Simba hawachukui hata senti. zote zinaenda kwenye jamii hsa kwenye hopsitali nilizokwambia.Wamechukua jezi wameandika majina ya Viongozi Kisha wakazipandisha Kilimanjaro baadae wakazipiga mnada,
Hivi kweli walishindwa hata kuandika jina la kipa la kibrazil, kwani hawana mchezaji ambaye jina lake linauza? Hata kibonge mikison
ni ubunifu wao hakuna haja ya kuwapingaWamechukua jezi wameandika majina ya Viongozi Kisha wakazipandisha Kilimanjaro baadae wakazipiga mnada,
Hivi kweli walishindwa hata kuandika jina la kipa la kibrazil, kwani hawana mchezaji ambaye jina lake linauza? Hata kibonge mikison
Sio mimi ni mzee RageShukrani kwa kuniita MBUMBUMBU.
[emoji120]
Huu wivu wa kijaluo peleka kwenu Kisumu. Kwani hizo hela zinazopatikana zinakwenda kusaidia wodi ya wazazi kwenye Hospital ya Taifa Muhimbili.Wamechukua jezi wameandika majina ya Viongozi Kisha wakazipandisha Kilimanjaro baadae wakazipiga mnada,
Hivi kweli walishindwa hata kuandika jina la kipa la kibrazil, kwani hawana mchezaji ambaye jina lake linauza? Hata kibonge mikison
Huyu akishashiba uji anaandika pumba tupuMbona ulichokiandika hakieleweki.
Hoja YAKO ni Nini HASA?????
Mbona mnaidhalilisha JF kwa kuandika Pumba
MNAJAZA seva Bure.
Mtu verified kabisa Baada ya kuandika mambo ya Muhimu, issue Constructive inapiga MAUMBEA UMBEA.
Aibu yako.
Rage ana mademu wengi sana huko Yanga hamuishi kumtaja taja kwa jinsi anavyowapelekea moto
Yeye ni Simba lakini unataka aongelee Yanga. Halafu Tulia kashabikia Yanga Tangu mwaka gani?Yanga ilipozindua ilimpelekea Rais ikampa iliandikwa jina vip uliongea haya unayoongea? Hakuna kiongozi wa kisiasa aliyepewa. Amepewa Rais na Makamu wake na wote waliopewa wamepewa kwa nyadhifa zao za kiserikali na sio chama. Ndio maana baadhi ya waliopewa kama Tulia anajulikana ni Yanga lkn kapewa kwa nafasi yake