Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 143,138
- 288,731
- Thread starter
-
- #41
Nilikustukia kitambo sana na vinyuzi vyako cha kizushiNwalilia NInyi na kiburi chenu.Manaacha siasa mnaleta Hisia.Mtu anajiuliza sasa ninyi mkisusa mnafikiri wengine nao watasusa?Watanzania mnaosema mnawatetea sijui mnawapigani sijua wanawaonaje hata...
Uwepo wake hapo uko kimkakati zaidi hasa kutokana na hali ya sasa ya Chadema kupitishwa kwenye tanuru la moto ili ionekane kuwa haikuwa sahihi Mbowe kutochaguliwa kuendelea kuwa Nkurunzinza wa Chadema.Huo ndio Msimamo wangu na nitampigia simu kumueleza kuhusu jambo hill
Ni kweli kwamba upo Msemo wa kiswahili usemao mchawi mpe mwanao akulelee lakini kwenye hali ya sasa hapana.
Kwamba wewe unafikiri hatujakushtukia?Nilikustukia kitambo sana na vinyuzi vyako cha kizushi
Mtaendelea kujianika tu
Lengo la kumpigia ni kutaka ufafanuzi wa jumuiko lake hilo labda nitamuelewaHawa watu wawili Mbowe na Lissu wana misimamo tofauti kisiasa.
Wakati Lissu ana misimamo mikali, Mbowe ni kinyume chake, hana misimamo mikali.
Sioni sababu ya kuendelea kumrushia mawe licha ya kuwa ameshaondoka uongozini.
Yule ni mtu mzima mwenye maamuzi yake binafsi, ana maisha yake, anajiamulia nini afanye ilimradi asivunje sheria za nchi
Huku kumpangia nini afanye ni kumkosea Mbowe binafsi, na kuikosea demokrasia tunayodai kuipigania kila siku, asiingiliwe kwenye maamuzi yake, tusiwe madikteta kwa wengine.
"Ukomavu wa kisiasa" una maana paja sana, naona wengi humu bado sana kuifikia level hiyo. Unataka kumpigia simu kwa sababu gani sasa!
Unataka awe mtumwa wako kufuata kile utakacho?!
Haya mambo mengine ni kumeza mate na kuyaacha yapite, sio kila jambo linalotokea kinyume na matarajio yake ulipigie kelele.
We ulikua hapo hapo unalala na mbwa hujui katoka kubweka wapi.Huo ndio Msimamo wangu na nitampigia simu kumueleza kuhusu jambo hill
Ni kweli kwamba upo Msemo wa kiswahili usemao mchawi mpe mwanao akulelee lakini kwenye hali ya sasa hapana.
Sijawahi kuwa mamlukiKwamba wewe unafikiri hatujakushtukia?
Kwamba unajiona kwamba wewe sio mamluki?Anyway Endelea na maisha yako...Sijawahi kuwa mamluki
Tulikustukia muda sanaKwamba unajiona kwamba wewe sio mamluki?Anyway Endelea na maisha yako...
AlaaaniweeHuo ndio Msimamo wangu na nitampigia simu kumueleza kuhusu jambo hill
Ni kweli kwamba upo Msemo wa kiswahili usemao mchawi mpe mwanao akulelee lakini kwenye hali ya sasa hapana.
Mbowe ni kama ronaldo tuuI don't trust his ass anymore
Unajua Shida ya watu kama wewe ni kwamba mnafikiri kwamba Kila mtu anafikiri ujinga kama ninyi.Kwanza elewa kwamba Huku Online tupo watu wenye fikra na mtazamo tofauti,Pili ninyi hiyo njia mnayofikiria kuitumia kuleta mabadiliko sio kwamba kila mtu anaiona iko sahihi na hao watu ambao mnawaona ni mashujaa wengine tunawafahmu kuliko ninyi mnavyowafahamu.Tulikustukia muda sana
Andiko reeeeefu lakini hamna kituUnajua Shida ya watu kama wewe ni kwamba mnafikiri kwamba Kila mtu anafikiri ujinga kama ninyi.Kwanza elewa kwamba Huku Online tupo watu wenye fikra na mtazamo tofauti,Pili ninyi hiyo njia mnayofikiria kuitumia kuleta mabadiliko sio kwamba kila mtu anaiona iko sahihi na hao watu ambao mnawaona ni mashujaa wengine tunawafahmu kuliko ninyi mnavyowafahamu.
Tunawatazama namna mnavyoendeshwa na hisia kama vigoli tunawaonea huruma.Huyu Mbowe wakati ananyolewa mlikuwa mnamsfia online wakati yeye yuko lockup ananyea Ndoo,Alipotoka baada ya kupata muafaka mkamuita msaliti amelamba asali.
Mmepata huyu Mnyaturu ambaye hajui ninyi ni watu wa aina gani.Anasimama kuwapigania kawekwa lockup ninyi mnamuita shujaa siku mambo yakikaa sawa akiachiwamnamuita msaliti wakati ninyi ile Oktoba 29 Mlikuwa t online mnatype.Mgetoka tu mkakae nae lockup kuonesha solidarity,Badala yake mkawapump madogo wasioelewa kitu wakaingia kitaa,wakapoteza maisha mkaishi kuwaita mashujaa na ninyi mpo hapa na Vi ID vyenu vya JF mnapiga tu kelele na kuleta vimisimamo vya kishamba.
Embu Nitolee Eti Ushanishtukia.Wewe ndi umeshtukiwa sisi tupo kama tulivyo...
Hayatuhusu.Huo ndio Msimamo wangu na nitampigia simu kumueleza kuhusu jambo hill
Ni kweli kwamba upo Msemo wa kiswahili usemao mchawi mpe mwanao akulelee lakini kwenye hali ya sasa hapana.
Wewe si ulikuwa housegirl wake? Acha unafiki. Ikiwezekana Heche akitimue CHADEMA kwa sababu wewe ni mfuasi wa Mbowe. Ni pandikizi.Huo ndio Msimamo wangu na nitampigia simu kumueleza kuhusu jambo hill
Ni kweli kwamba upo Msemo wa kiswahili usemao mchawi mpe mwanao akulelee lakini kwenye hali ya sasa hapana.
Kwani unajua kusoma?Ndio uelewe?Anyway Uwe na wakti mwema.Andiko reeeeefu lakini hamna kitu