Tatizo lako ndilo hilo, hata jana nilikueleza. Mbowe naye ni binadamu kama ulivyo wewe. Hivi alivyotendewa wakati wa kampeni ilikuwa sawa? Naamini donda lake bado bichi. Tumuache with time atarecoverHuo ndio Msimamo wangu na nitampigia simu kumueleza kuhusu jambo hill
Ni kweli kwamba upo Msemo wa kiswahili usemao mchawi mpe mwanao akulelee lakini kwenye hali ya sasa hapana.
Kwi Kwi KwiWewe si ulikuwa housegirl wake? Acha unafiki. Ikiwezekana Heche akitimue CHADEMA kwa sababu wewe ni mfuasi wa Mbowe. Ni pandikizi.
Kuna kitu hukielewi kuhusu Mimi, sitetei watu natetea ChademaTulikwambia wakati unamtetea Mbowe
CCM watamrudisha kiujanja ili waende Sawa, Sasa Ungekua wewe utafurahi kunyang'anywa tinge mdomoniYule ni bonge la mpuuzi ni bora tu aende CCM huko wampe cheo lakini CHADEMA asahau
Mtu kama Mzee Mbowe HAPANGIWI cha kufanya na wapuuzi.Huo ndio Msimamo wangu na nitampigia simu kumueleza kuhusu jambo hill
Ni kweli kwamba upo Msemo wa kiswahili usemao mchawi mpe mwanao akulelee lakini kwenye hali ya sasa hapana.
Mh. Mbowe aje CCM, tutampokea kwa heshma kubwa na kuthamini kazi aliyoifanya ya kudumisha utengamano wa kitaifa kupitia ukomavu na uvumilivu wake kisiasa.Huo ndio Msimamo wangu na nitampigia simu kumueleza kuhusu jambo hill
Ni kweli kwamba upo Msemo wa kiswahili usemao mchawi mpe mwanao akulelee lakini kwenye hali ya sasa hapana.
Yuda IskaliotteMbowe ndo aliuza wenzake
Nilisema sana humu, huyo Mbowe alikuwa sio toka alipompokea Lowassa na kumpa nafasi ya kugombea urais. Sikueleweka wakati ule, lakini sasa naona tunaona kile nilichokiona muda mrefu. Huyo ni Mrema aliyechangamka.Huo ndio Msimamo wangu na nitampigia simu kumueleza kuhusu jambo hill
Ni kweli kwamba upo Msemo wa kiswahili usemao mchawi mpe mwanao akulelee lakini kwenye hali ya sasa hapana.
Aje ccm kwani alikuwa ametoka?π€£Mh. Mbowe aje CCM, tutampokea kwa heshma kubwa na kuthamini kazi aliyoifanya ya kudumisha utengamano wa kitaifa kupitia ukomavu na uvumilivu wake kisiasa.
Mno!Status yake aliyoijenga kwa miaka inaporomoka kwa Kasi mno
Ni jambo la kuhuzunisha kwa sisi tuliyomuona kama agent wa mabadiliko ya kweliMno!
Naamini kuhudhuria ufunguzi wa bwawa la umeme maana yake yupo pale kwa maendeleo ya taifa.Lengo la kumpigia ni kutaka ufafanuzi wa jumuiko lake hilo labda nitamuelewa
Kujumuika na wauaji si jambo la kawaidaNaamini kuhudhuria ufunguzi wa bwawa la umeme maana yake yupo pale kwa maendeleo ya taifa.
Anyway mimi sio msemaji wake.
Mbowe na genge lake ni wachumiatumbo. Mbowe hadi kauza akaunti za mitandao ya jamii za CHADEMA kwa sababu ya njaa.Huo ndio Msimamo wangu na nitampigia simu kumueleza kuhusu jambo hill
Ni kweli kwamba upo Msemo wa kiswahili usemao mchawi mpe mwanao akulelee lakini kwenye hali ya sasa hapana.
Huyo siyo mjinga kama Lissu au Heche, anajuwa thamani ya amani yetu. Usimpigie simuHuo ndio Msimamo wangu na nitampigia simu kumueleza kuhusu jambo hill
Ni kweli kwamba upo Msemo wa kiswahili usemao mchawi mpe mwanao akulelee lakini kwenye hali ya sasa hapana.
ππππMbowe na genge lake ni wachumiatumbo. Mbowe hadi kauza akaunti za mitandao ya jamii za CHADEMA kwa sababu ya njaa.