Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 98,439
- 145,410
- Thread starter
- #21
Fundi…watu huwa tunatembea huku tukiwa tunaongea kwenye simu, tunaangalia tusijikwae tukadondoka, papo hapo tunavuka na barabara, na kabla ya kuvuka tunaangalia kushoto na kulia kuhakikisha ni salama kuvuka, huku tukitafuna na Big G na kuzipuliza zivimbe kama puto.Inaelekea ni vigumu sana kwa watanzania kutembea huku wakitafuna Big G.
Amandla...
They are taking us for fools!