wa ukae
JF-Expert Member
- Aug 11, 2008
- 2,765
- 2,203
Ila tukisema ukweli bila Kupepesa macho mikutano mingi ya vyama vya siasa ni matusi,kejeli,kashfa na vulugu aina tofauti kubwa na ile mikutano ya kidini iliopigwa marufuku ila kama wataweza kuwa na siasa safi hata mimi sioni tatizoRais wetu ana mawazo yale ya mtangulizi wake anaona mikutano ya siasa ni vurugu itawanyima watu kufanya kazi, anaposema watu wafanye siasa kwenye maeneo yao ni sawa na kifungo na anavunja sheria ya nchi, watanzania wana uhuru wa kwenda popote ndani ya nchi yao, asimuige Magufuli kwenye hili ataharibu.