Sijasikia viongozi, wabunge na watu maarufu wakitetea wananchi kuhusu vifurushi vipya

Sijasikia viongozi, wabunge na watu maarufu wakitetea wananchi kuhusu vifurushi vipya

Maleven

JF-Expert Member
Joined
Sep 8, 2019
Posts
689
Reaction score
3,373
Au ndo haifai kuongea wakati wa kula? Au ndo wenzetu wanayumia wifi za office hawajapata taarifa? Nani wa kupaza sauti kueleza hali hii?

Kwanini mitandao mingi imekaidi?
 
Na wasanii.

Dah hii nchi kila mtu apambane na hali yake.
 
Tz kila mtu ashinde mechi zake.
Huwa nashangaa sana kipindi cha kampeni watu ambao hawana manufaa binafsi na mgombea kwanini wanamshobokea.
Maana wagombea almost wote wanajali mambo yao tu
 
Back
Top Bottom