Maleven JF-Expert Member Joined Sep 8, 2019 Posts 689 Reaction score 3,373 Apr 5, 2021 #1 Au ndo haifai kuongea wakati wa kula? Au ndo wenzetu wanayumia wifi za office hawajapata taarifa? Nani wa kupaza sauti kueleza hali hii? Kwanini mitandao mingi imekaidi?
Au ndo haifai kuongea wakati wa kula? Au ndo wenzetu wanayumia wifi za office hawajapata taarifa? Nani wa kupaza sauti kueleza hali hii? Kwanini mitandao mingi imekaidi?
Mad Max JF-Expert Member Joined Oct 21, 2010 Posts 26,961 Reaction score 77,890 Apr 5, 2021 #2 Na wasanii. Dah hii nchi kila mtu apambane na hali yake.
carcinoma JF-Expert Member Joined Mar 5, 2017 Posts 5,059 Reaction score 13,771 Apr 5, 2021 #3 Tz kila mtu ashinde mechi zake. Huwa nashangaa sana kipindi cha kampeni watu ambao hawana manufaa binafsi na mgombea kwanini wanamshobokea. Maana wagombea almost wote wanajali mambo yao tu
Tz kila mtu ashinde mechi zake. Huwa nashangaa sana kipindi cha kampeni watu ambao hawana manufaa binafsi na mgombea kwanini wanamshobokea. Maana wagombea almost wote wanajali mambo yao tu
Maleven JF-Expert Member Joined Sep 8, 2019 Posts 689 Reaction score 3,373 Apr 5, 2021 Thread starter #4 Mad Max said: Na wasanii. Dah hii nchi kila mtu apambane na hali yake. Click to expand... Kesho anakuja anasema tuwe wazalendo tupendane,
Mad Max said: Na wasanii. Dah hii nchi kila mtu apambane na hali yake. Click to expand... Kesho anakuja anasema tuwe wazalendo tupendane,