Sijavutiwa na Toyota Harrier a.k.a Tako la Nyani

Engine size kubwa ila output almost sawa na german cars tena zinaweza zidiwa..

Kuna drag race moja niliiona Porsche Cayenne Turbo GT na BMW X6M zinaichakaza Jeep trackhawk. Zote zina engine size ndogo.
Hahahahah hio jtakuwa Jeep SRT sio Trackhawk mzee
 
hapo dungu E Class hazikosi hapo. Hizi gari unaweza ukawa 100+ ila inavyobembeleza unaweza ukasinzia kabisa, kumbe huku nje raia wanaulizana unakimbilia wapi.
 
Engine size kubwa ila output almost sawa na german cars tena zinaweza zidiwa..

Kuna drag race moja niliiona Porsche Cayenne Turbo GT na BMW X6M zinaichakaza Jeep trackhawk. Zote zina engine size ndogo.
Magari ya USA ni CC kubwa tuu kama train ya diesel lakini hamna kitu. Mpaka trump alilalamika mbona wazungu wa Ulaya wanauza magari yao mengi USA ila magari ya USA hayahuziki Ulaya. Wajerumani wakawajibu tengenezeni magari mazuri
 
huijui gari ya mtoto wa mamvi wewe.
tako la nyani imesimama balaa.
comfortability 100 [emoji817]
balance balaa 100
fuel inakula,ulitaka ile nini?
 
Magari ya USA ni CC kubwa tuu kama train ya diesel lakini hamna kitu. Mpaka trump alilalamika mbona wazungu wa Ulaya wanauza magari yao mengi USA ila magari ya USA hayahuziki Ulaya. Wajerumani wakawajibu tengenezeni magari mazuri
Hata design ni za hovyo sijapata kuona.

Ford kidogo sana wanajitahidi kwa baadhi ya models ila kampuni nyingine ni hovyo.
 
In short: gari ndogo zenye body kubwa
 
Wewe utakuwa mmiliki wa Crown au ndugu zqke Akina Mark X,Brevis
Mkuu unisaidie na mimi hapo hiyo gari (harrier) ndio nategemea kuagiza mwezi February 2023 baada ya majadiliano na mama chanja kati ya harrier na rav 4 miss Tz. Sasa nimeona huu uzi nimekuwa discouraged. Kwa hiyo niendelee na mchakato wa bora rav 4 Miss Tz? Msaada please. Nitashukuru kama utanieleza kwa kina. Asante mkuu.
 
Nunua Harrier ni gari nzuri tu. Ni luxury kuliko Rav4. Hapa ni majadiliano tu. Cha kuzingatiq usiwa mtu wa mambio yasiyo na maana otherwise ni gari nzuri tu. Pia angalia usinunue ile ya cc3000 ukaichukia nunua ya cc2400 2az engine I think.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…