Harrier ina muonekano mzuri?Wewe ndio unafata mkumbo wa ubishi, tako la nyani ni gari luxury sana tu kulingana na bei yake, tatizo lake ni nyepesi zinapata ajari sana hasa kwa walevi, engine haina nguvu kiukweli inazidiwa kila kitu na vanguard ila ni nzuri kwa mwonekano na ndiomaana imeuza sana sio bongo tu harrier inauza mpaka marekani na uingereza , ila chuma imesimama na inamwonekano wa kishua bro kila mtu anapenda vitu vizuri hayo mambo ya engine na ulaji wa mafuta ni minor kitu cha kwanza mvuto, usipoielewa harrier demu wako ataielewa.
Harrier sio nzuri kwa offroadSijabisha kuhusu luxurious, crown ni luxury car ila harrier hiyo ni SUV maanake ni confortable kwaajili ya kubeba watu,mizigo na offroad. So kuzicompare hizi gari ni kosa kubwa inatakiwa ulinganishe bmw 320I na crown au benz c class na crown. Harrier linganisha na cluger au other SUV cars.
Huwezi compare sedan na SUV...View attachment 2468764View attachment 2468764Harrier engine nyepesi sana haitoboi hata kwa crown wakikutana kwenye open runway. Crown iko more stable 😂😂 kwa kifupi harrier mbio zake ni zakwendea coco, kidombwi na morogoro.
Mimi mwenyewe nimeshangaa kusikia Harrier ina mwonekano mzuri. Labda ukilinganisha na Passo and the likesHarrier ina muonekano mzuri?
Personal preference hizoo...Mimi mwenyewe nimeshangaa kusikia Harrier ina mwonekano mzuri. Labda ukilinganisha na Passo and the likes
Hii ni total disrespect 🤣🤣🤣 cmon mark X!!!German mashine [emoji114][emoji114] mtu kalambwa kama esimama vileView attachment 2469411
Cmon wakati kafuta kisahani na haoni hata kivuli!Hii ni total disrespect 🤣🤣🤣 cmon mark X!!!
Kutoka 160 mpaka 180 muda wote huo?German mashine [emoji114][emoji114] mtu kalambwa kama esimama vileView attachment 2469411
HajakanyagiaKutoka 160 mpaka 180 muda wote huo?
RPM 3,000?
Hajakanyagia au ndio mwisho wa uwezo wa gari?
Ningeshangaa. Haiko sluggish hivyo hiyo gariHajakanyagia
Hata angeroka 160-180 kwa sekunde isingemsaidia mwenzie yuko 200+ hayo ni mambo ya life begins at 180Kutoka 160 mpaka 180 muda wote huo?
RPM 3,000?
Hajakanyagia au ndio mwisho wa uwezo wa gari?
Hiyo ni mada nyingine 🤣🤣 ya siku nyingine.Hata angeroka 160-180 kwa sekunde isingemsaidia mwenzie yuko 200+ hayo ni mambo ya life begins at 180
Hii gari imewakosea nini?Too overrated. View attachment 2476180
tatizo imekuwa yeboyebo,lakini wakati zikiwa chache zilionekana za maanaHii gari imewakosea nini?
Mkuu huoni bei hiyo million 48.8 kisa system ya music!Hii gari imewakosea nini?
Mkuu huoni bei hiyo million 48.8 kisa system ya music!
Kweli duniani tunatofautiana vipaumbele. Yaani mtu anatoa 50m anaenda kununua Harrier wakati angetumia 30m akanunua x3 msumari ya same year akaonekana ana akili halafu akabaki na 18m ya kufanyia service km shida ya Germany car ni maintenanceMkuu huoni bei hiyo million 48.8 kisa system ya music!
Kabisa mkuu.Kweli duniani tunatofautiana vipaumbele. Yaani mtu anatoa 50m anaenda kununua Harrier wakati angetumia 30m akanunua x3 msumari ya same year akaonekana ana akili halafu akabaki na 18m ya kufanyia service km shida ya Germany car ni maintenance
Wahuni washachezesha odo hapo [emoji23][emoji23][emoji23]Km 68 since 2006[emoji2305][emoji2305]
This one going down to history..!au ilikuwa imepaki