Sijavutiwa na Toyota Harrier a.k.a Tako la Nyani

Sijavutiwa na Toyota Harrier a.k.a Tako la Nyani

Wewe ndio unafata mkumbo wa ubishi, tako la nyani ni gari luxury sana tu kulingana na bei yake, tatizo lake ni nyepesi zinapata ajari sana hasa kwa walevi, engine haina nguvu kiukweli inazidiwa kila kitu na vanguard ila ni nzuri kwa mwonekano na ndiomaana imeuza sana sio bongo tu harrier inauza mpaka marekani na uingereza , ila chuma imesimama na inamwonekano wa kishua bro kila mtu anapenda vitu vizuri hayo mambo ya engine na ulaji wa mafuta ni minor kitu cha kwanza mvuto, usipoielewa harrier demu wako ataielewa.
Harrier ina muonekano mzuri?
 
Sijabisha kuhusu luxurious, crown ni luxury car ila harrier hiyo ni SUV maanake ni confortable kwaajili ya kubeba watu,mizigo na offroad. So kuzicompare hizi gari ni kosa kubwa inatakiwa ulinganishe bmw 320I na crown au benz c class na crown. Harrier linganisha na cluger au other SUV cars.
Harrier sio nzuri kwa offroad
 
Too overrated.
Screenshot_20230110-131151_Facebook.jpg
 
Mkuu huoni bei hiyo million 48.8 kisa system ya music!
Kweli duniani tunatofautiana vipaumbele. Yaani mtu anatoa 50m anaenda kununua Harrier wakati angetumia 30m akanunua x3 msumari ya same year akaonekana ana akili halafu akabaki na 18m ya kufanyia service km shida ya Germany car ni maintenance
 
Kabisa mkuu.
 
Back
Top Bottom