Sijavutiwa na Toyota Harrier a.k.a Tako la Nyani

Mkuu ni normal concept ya physics kwenye gravitational force. Gari ikiwa chini inakua na balance stability kubwa kuliko iliyoko juu.

Ila advantage za SUV ni nyingi kuliko Sedan/Salon Cars hivyo nunua tu SUV.
Suv ina advantage gani zaidi ya ground clearance? Hizi suv za mchongo harrier,rav4 msiziweke kwenye proper suv akina lc. Hizi kwenye barabarani korofi kidogo tu hazitoboi kama sedan tu.
 
Suv ina advantage gani zaidi ya ground clearance? Hizi suv za mchongo harrier,rav4 msiziweke kwenye proper suv akina lc. Hizi kwenye barabarani korofi kidogo tu hazitoboi kama sedan tu.
Rav 4 unayoita ya mchongo ndio SUV maarudu zaidi Duniani zaidi ya LC.

Imevunja rekodi ya mauzo ya SUV zote Amerika na Ulaya.

Sasa sijui huo umchongo unaousema unatoka wapi.

Tatizo humu ndani watu mnaongozwa na hisia na matamanio yenu kuliko uhalisia.
 
Rav4 na Harrier ni suv za mchongo. Sio proper suv. Corolla inaongoza kwa mauzo all time duniani unafikiri ndio the best car in Jp au duniani?
 
RAV 4
 
Attachments

  • 2094708_IMG_20190622_161433_715.jpeg
    90.4 KB · Views: 55
🤔🤔🤔 Nilikua na piga hesabu za kununua ila ngj niache
 
Arguments nyingine zimekaa ki-sisiemu tu. Ni gari gani ukiwa speed 120 haiihitaji umakini wa hali ya juu?
Kuna video nilikuwa naangalia siku si nyingi youtube. Siku si nyingi.

Bahati mbaya sana ninesahau ni gari gani.

Ilikuwa ni Autobahn na jamaa alikuwa anaswitch lanes barabarani au 300+ Km/h.

Kwenye comment watu walikuwa wanamshangaa. Unadhani ni kwanini?

Kuna gari at 120 tena ukiwa umefunga vioo unafeel kama gari haiendi. Unafeel kama upo 50.

Gari hazifanani kabisa.
 
Haijalishi ni gari gani unaendesha, ukiwa 120 lazima uwe makini, specially kwa barabara za kwetu Tanzania. Ndio maana speed limits barabarani ziko kwa magari yote.
 
Haijalishi ni gari gani unaendesha, ukiwa 120 lazima uwe makini, specially kwa barabara za kwetu Tanzania. Ndio maana speed limits barabarani ziko kwa magari yote.
Gari hazifanani hata kidogo aiseee.

Hebu tafuta sedan yoyote ambayo iko chini. Mfano 3 series. Funga vioo halafu gonga 120 uone, kwa hapa mjini unaweza ukajiona unakimbia ila huko maporini utajiona kama unatembea 40.

Fanyia kazi nilichokuambia utaelewa naongelea nini.

Tafuta gari yoyote iliyopass moose test EURO NCAP hata kama ni ya kijapani. Ipige speed kubwa utanielewa.
 
Naona tunashindwa kuelewana. Ukiwa kwenye spidi, unatakiwa kuwa makini zaidi, haijalishi unaendesha gari gani.
 
Naona tunashindwa kuelewana. Ukiwa kwenye spidi, unatakiwa kuwa makini zaidi, haijalishi unaendesha gari gani.
Na mimi nakuambia hili.

Mnaweza kuwa kwenye speed kubwa halafu sawa, madereva wawili, mmoja akakwepa shimo akala mzinga, mwingine akakwepa shimo na akaendelea na safari.

Uzito wa gari, ground clearance, Suspension na mengine mengi yanachangia. Usikariri.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…