wa kupuliza
JF-Expert Member
- Jun 15, 2012
- 15,216
- 37,757
Onyesha hao watu 300 umewapataje?Yaani wana JF Mia 300 wanaochangia hapa..unaita JF yote..unajua Jf ina watu wangapi..?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Onyesha hao watu 300 umewapataje?Yaani wana JF Mia 300 wanaochangia hapa..unaita JF yote..unajua Jf ina watu wangapi..?
😄😄 Mimi Nashukuru both worlds nazijua (mjapan,Mjerumani) hakuna wa kuniletea story za Paukwa Pakawa.Mahaba hayaa
Usijali mkuu wewe nunua tu,ukutane na Germany Technology.Yale Majibu ya Spare Ni mkataba utayapa soon. 😄😄Mkuu niwe mkweli tu sijawahi kuendesha gari zaidi ya toyota. Kwa hivyo nakuwa na woga wa repair na bei ya spear kwa european cars.
Nakubali mkuu [emoji1][emoji1]Ila tuache uongo huwezi kulinganisha Germany machines na Mjapan. The only category Japanese cars are the best is reliability, otherwise zimezidiwa kila mahali
SJ ikoje?kwenye roundabout ndio sehemu ya kukanyagia hata 120+ ndio mahala pakusikia utamu wa gari..hiyo 30 unasafirisha mwili wa marehemu ?
Wewe acha afax unataka gari la peke yako katengeneze mwenyeweMimi hili silipendi kwa sababu tu linatumiwa na wengi basi mengine hayo sitaki kuyajua
Uzuri wa tako la nyani ni upi ukilinganisha na salon cars zaidi ya road clearance? Tena kwa mwonekano iko hivi C class w204 > BMW 320i >Crown >HarrierHuyu jamaa muongomuongo tu gari yenyewe kapewa test drive tu tayari anajifanya analijuaaa sasa utalinganisha vp saloon car na SUV offcoz saloon cars zilitengenezwa luxurious zaidi ya SUV lakini upande wa design tako la nyani ni zuri na heshima pia. Sasa speed120 ulikua unakimbilia wapi hatuko kwenye mashindano.
Uzuri wa tako la nyani ni upi ukilinganisha na salon cars zaidi ya road clearance? Tena kwa mwonekano iko hivi C class w204 > BMW 320i >Crown >Harrier
mim naikubali zaidi pre facelift kwa mwonekano ni hatareee
Sijabisha kuhusu luxurious, crown ni luxury car ila harrier hiyo ni SUV maanake ni confortable kwaajili ya kubeba watu,mizigo na offroad. So kuzicompare hizi gari ni kosa kubwa inatakiwa ulinganishe bmw 320I na crown au benz c class na crown. Harrier linganisha na cluger au other SUV cars.Uzuri wa tako la nyani ni upi ukilinganisha na salon cars zaidi ya road clearance? Tena kwa mwonekano iko hivi C class w204 > BMW 320i >Crown >Harrier
Gari inaweza kuwa SUV na ikawa luxurious pia mkuu mfano LX570 and the likes. Tatizo la Harrier ni kwamba sio proper SUV(ni crossover), sio luxurious, haina performance, sio fuel economical, haina balance barabarani, haina mwonekano mzuri ‘kihivo’ n.k . Harrier ni kwa watu wafuata mkumbo otherwise ni gari average sana na haikupi value for your moneySijabisha kuhusu luxurious, crown ni luxury car ila harrier hiyo ni SUV maanake ni confortable kwaajili ya kubeba watu,mizigo na offroad. So kuzicompare hizi gari ni kosa kubwa inatakiwa ulinganishe bmw 320I na crown au benz c class na crown. Harrier linganisha na cluger au other SUV cars.
Hapa ndio utajua kuna Japanese Cars na Germany Machines😃😃😃German mashine [emoji114][emoji114] mtu kalambwa kama esimama vileView attachment 2469411
We jamaaGari inaweza kuwa SUV na ikawa luxurious pia mkuu mfano LX570 and the likes. Tatizo la Harrier ni kwamba sio proper SUV(ni crossover), sio luxurious, haina performance, sio fuel economical, haina balance barabarani, haina mwonekano mzuri ‘kihivo’ n.k . Harrier ni kwa watu wafuata mkumbo otherwise ni gari average sana na haikupi value for your money
Wewe ndio unafata mkumbo wa ubishi, tako la nyani ni gari luxury sana tu kulingana na bei yake, tatizo lake ni nyepesi zinapata ajari sana hasa kwa walevi, engine haina nguvu kiukweli inazidiwa kila kitu na vanguard ila ni nzuri kwa mwonekano na ndiomaana imeuza sana sio bongo tu harrier inauza mpaka marekani na uingereza , ila chuma imesimama na inamwonekano wa kishua bro kila mtu anapenda vitu vizuri hayo mambo ya engine na ulaji wa mafuta ni minor kitu cha kwanza mvuto, usipoielewa harrier demu wako ataielewa.Gari inaweza kuwa SUV na ikawa luxurious pia mkuu mfano LX570 and the likes. Tatizo la Harrier ni kwamba sio proper SUV(ni crossover), sio luxurious, haina performance, sio fuel economical, haina balance barabarani, haina mwonekano mzuri ‘kihivo’ n.k . Harrier ni kwa watu wafuata mkumbo otherwise ni gari average sana na haikupi value for your money
Popote ulipo nunua korosho nakuja kulipaGari inaweza kuwa SUV na ikawa luxurious pia mkuu mfano LX570 and the likes. Tatizo la Harrier ni kwamba sio proper SUV(ni crossover), sio luxurious, haina performance, sio fuel economical, haina balance barabarani, haina mwonekano mzuri ‘kihivo’ n.k . Harrier ni kwa watu wafuata mkumbo otherwise ni gari average sana na haikupi value for your money