Sijawahi kuachana na mtu kwa vita au ugomvi, mliachanaje na ex wako wa mwisho?

eeeh umenkumbusha,,mi mwenyewe sipendi magomvi ni kimya kimya,,ila huyu wa safari hii namfanyia ujasusi wa chini chini hadi akija stuka kachelewa namim nshapata nachotaka😌😌🏃🏾‍♀️
Akijiua je??? Mbona unataka kuchuma zambiiii🙃🙃🙃🙃
 
Sikuachana nae kugumvi nilijikuta tu nimepigwa chini baana ya kupewa minba, now single mother anataka turudiane chakushangaza life langu ni lilelile
 
eeeh umenkumbusha,,mi mwenyewe sipendi magomvi ni kimya kimya,,ila huyu wa safari hii namfanyia ujasusi wa chini chini hadi akija stuka kachelewa namim nshapata nachotaka😌😌🏃🏾‍♀️
Anapigwa tukio mpaka akili inamcheza 🤣
 
Nilikadiria kiungo changu kushirikishwa katika mapenzi na wadau 456+.
Lakin sijawai kuachana na yoyote bali naachwa nashtukia siko naye.
Ila walio hai wote tuna urafiki na huwa wananipa kitengo cha ushauri katika mahusiano/ndoa zao.
Kazi hii huwa naifanya kwa moyo mkunjufu.
Tujitahidi kutojimilikisha viumbe walio mali ya Mungu.
Akiona hamwendan mwombee apate hitaj la moyo wake pengine nawe utabarikiwa na atakuwa anakupa bonus za hapa na pale
 
Duuh kwanini umesema hivyo?
Kuachana solemba jua hamkuwahi kuoendana kabisa

Ukiingia anga zangu siachiki kindezi tu 🤣 hata kama sikupendi na hunipendi ila ukithubutu viburudisho vikabambiana aaah unaanzaje kuniacha solemba 🤣🤣🤣🤣 lzm tu nikupige biti balaa ili baadaye tuwe marafiki sahihi

Kumbuka kama hamjagombana bado hamjawa marafiki
 
Jentlomeni wote huwa hawalazimishi kukaa kwenye mahusiano tata au mfu.
Ni bahati sana kujua wakati flani si zamu yako kuhitajiwa, unapata wasaa wa kuitafuta amani pengine maana hilo ndo hitaji la msingi.
Kulazimisha mahusiano/mapenzi ni sawa na kula chakula kizuri kwa kukiangalia lakini mfumo wa tumbo haukitaki. ...utatapika kila siku!
Mwanaume makin kuachwa ni bahati kuliko vituko hujui sababu.
 
Sikuachana nae kugumvi nilijikuta tu nimepigwa chini baana ya kupewa minba, now single mother anataka turudiane chakushangaza life langu ni lilelile
Duuh pole sana, sidhani kama ni busara kurudiana. We move on tu!
 
Nilikadiria kiungo changu kushirikishwa katika mapenzi na wadau 456+.
Umesema watu 456 au umekosea kuandika? Yani hawa watu wote umeshiriki nao ngono? au wengine ni kuchat tu kwa simu?
Lakin sijawai kuachana na yoyote bali naachwa nashtukia siko naye.
Unaachwa kimya kimya 😂
Ila walio hai wote tuna urafiki na huwa wananipa kitengo cha ushauri katika mahusiano/ndoa zao.
Kazi hii huwa naifanya kwa moyo mkunjufu.
Inapendeza 👌🙌
Tujitahidi kutojimilikisha viumbe walio mali ya Mungu.
Akiona hamwendan mwombee apate hitaj la moyo wake pengine nawe utabarikiwa na atakuwa anakupa bonus za hapa na pale
Kabisa, umesema vizuri 💯
 
Back
Top Bottom