Binti wa zamani
Platinum Member
- Nov 19, 2011
- 15,052
- 36,866
- Thread starter
- #201
Siyo tu nimekisahau, sijawahi kukifikiria toka nimekiacha na kililia kama mtoto siku hiyo.Unataka kusema umemsahau kidume kilichotoa usichana wako?
Siyo tu nimekisahau, sijawahi kukifikiria toka nimekiacha na kililia kama mtoto siku hiyo.Unataka kusema umemsahau kidume kilichotoa usichana wako?
Kumbe huwa kimawazo mnateseka hivi🤣🤣Usiku mmelala mwenzako anaota ananyonya mashine ya ex wake. Hizi dharau mkuu
Sasa nikuache mara ngapi? hebu ukiachwa achika 🤣🤣😅Jaribu kuniacha uone 😂😂😂 utajuta kunipenda wallaiii
Siyo tu nimekisahau, sijawahi kukifikiria toka nimekiacha na kililia kama mtoto siku hiyo.
Ngoja nikupeleke kwa bibi, akuroge unipende hadi uwe unanililia kila siku. Chupi yako si uliisahau geto.... Shauri yako utajirudisha huku unatembelea magotiii 😂😂😂😂Sasa nikuache mara ngapi? hebu ukiachwa achika 🤣🤣😅
Kumbe huwa kimawazo mnateseka hivi🤣🤣
Ndio maana nikasema ielezee huo future unayoitaka ambayo baba Yako anayoInawezekana hata neno future hujaelewa nimemaanisha nini, unawaza tu kuachwa kisa huna hela. Akili za kikapuku hizo!
Kinyaa sana unaonaje limwanamke lililotumika wakati Kuna vitu vipya vimejitunza kwaajili ya ndoa! Limwanamke linakuambia process mzima lilivyo bikiriwa Tena Kwa kutaja majina matatu ya aliembikiri, jiulize kwanini kaachwa na bwana wake wa kwanza utagundua ameachwa Kwa tabia mbovu Sasa inakuaje unamuoa akiwa na hizo tabia mbovu tena USED!!!Mwanamke asiye bikira sio wa kumfanya mke ana hadhi ya malaya
Ni kiburudisho cum bucket. Chapa sepa. Ukiweka ndani ni kujitafutia mikosi
Usiku mmelala mwenzako anaota ananyonya mashine ya ex wake. Hizi dharau mkuu
Mnaachanaje kishamba hivyo lazima pachimbike kweli kweli ili hapo baadayeSi kweli, kwanini lazima kuwe na vita?
Kuachana mnachekeana ni umalaya uliokubuhuMahusiano yote niliyoyavunja ni either tumeshindwana tabia, hisia zimekata or sioni future na huyo mtu.
Huwa nawaambia tu kwenye mazungumzo kama utani na baada ya hapo nasitisha mawasliano au nahama kabisa.
Mimi sipendi confrontations (magomvi) na toka nimeujua ulimwengu wa mapenzi sijawahi kuachwa.
Sijui mtu akikatisha mahusiano, upande wa aliyeachwa huwa inafeel vipi.
Vipi wewe mahusiano yako yaliyovunjika yaliishaje?
Wala hakunifumania...alitoka hadi kwenye niliyompangia nilipouchuna bila kumuuliza akapandisha hasira matusi yakaanza😂
Yani amekuacha yeye na matusi anaporomosha yeye? Alikufumania nini?
King’ang’a kwani wanawake wengine huwaoni😅?😂😂😂 Sikubari Mimi... Ukiniacha ntakuganda kama kupe kwa ng'ombe.
Future yenye upendo, ule uliotukuka kabisa!Ndio maana nikasema ielezee huo future unayoitaka ambayo baba Yako anayo
Watu wamejaa ivo yaani apoteze muda kukusaka wewe mtu mmojaYule demu NILISHINDWA kumuelewa tulikua ARUSHA SASA tumeanza MAHUSIANO akawa anachati nikimuuliza ANADAI MJOMBA wake. Nikja stuka nkiamtait AKADAI MWANAUME walie zaa NAE nikasema POA.
BADAE nikapigwa chale NIKABADIL laini nikasepa ZANGU bila KUTUKANa au kupiga MTU KIMYA MPAKA Leo nilisepa ARUSHA kabisa BAADA ya KUPATA mchongo SEHEM ingine. Nilipiga chini KIMYA NAHISI HADI Leo anan saka yapata MWAKA na NUSU.
SASA KWANINI anasumbua RAFIKI ZANGU nakulalama ka mjane hawaoni WENGNE? WATU wamejaa SANA ndio lakini usidanganywe KILA MTU ana mvuto wake Kuna KITU kwangu anakipata HAWEZ PATA kwngine binadamu tnatofautiana. mi ni bro alex nawe ni sweet huo ni utofauti UPO APO.Watu wamejaa ivo yaani apoteze muda kukusaka wewe mtu mmoja
Ule wimbo unasema eksiii mbwaa na mashoga zake mbwaaaa tu😊 nan kaimba au bas🤣Mahusiano yote niliyoyavunja ni either tumeshindwana tabia, hisia zimekata or sioni future na huyo mtu.
Huwa nawaambia tu kwenye mazungumzo kama utani na baada ya hapo nasitisha mawasliano au nahama kabisa.
Mimi sipendi confrontations (magomvi) na toka nimeujua ulimwengu wa mapenzi sijawahi kuachwa.
Sijui mtu akikatisha mahusiano, upande wa aliyeachwa huwa inafeel vipi.
Vipi wewe mahusiano yako yaliyovunjika yaliishaje?
Napendaga kwa moyo... 😂😂😂King’ang’a kwani wanawake wengine huwaoni😅?