Putin17
JF-Expert Member
- Mar 17, 2025
- 339
- 585
Ye angegoma bn je kama alikuwa tu anapimwa watu walikuwa wanatikisa kibiriti kama kina njitiKaka ACHA TU mapenzi ya mtoto kwa baba yake tuishie TU hapoo
Ye angegoma bn je kama alikuwa tu anapimwa watu walikuwa wanatikisa kibiriti kama kina njitiKaka ACHA TU mapenzi ya mtoto kwa baba yake tuishie TU hapoo
😂 😂 Tulia hivyo hivyo dawa ikuingieKwahyo baada ya kunipiga chini kimya kimya ndo umeamua kuja kujigamba humu. Malipo ni hapa hapa Duniani
Kumtisha WATU wamekaa kikao na hatua zote zmefuatwa anasubiriwa YEYE TU agome AKUBALI mtoto atasepa kwa baba ake .Ye angegoma bn je kama alikuwa tu anapimwa watu walikuwa wanatikisa kibiriti kama kina njiti
Na huo mshedede wako utafika kwenye ndoa ukiwa umechoka sana 😂Mama angu ujue nini.. najaribu kua mbali nao ila sasa kuna huyo dada alinishaur mpk nihame ili aweze kuja kupata mshedede kwa uhuru
Eeenhe, baada ya hapo ikawaje ......... ?Dem jambo dogo anaongea kama nini
Nisingeweza kabisa nilimjaribu kumwambia sina kiasi ambacho anahitaji kwa uwo wakati nimpime atasemaje baadae nakuta vn kwa watsapp kama nne ananilalamikia
Si unataka mwanaume mwenye future au baba Yako sio mwanaumeBaba yangu ameingiaje hapa?
Dah walimfanyia ukatili sana sema inaonesha pia kiuchumi hakua sawa maana pesa ingekuwepo kitu kama icho kisingejitokeza…Kumtisha WATU wamekaa kikao na hatua zote zmefuatwa anasubiriwa YEYE TU agome AKUBALI mtoto atasepa kwa baba ake .
Unajua kuchombeza adi rahaa😂😂😂Eeenhe, baada ya hapo ikawaje ......... ?
Et ikawajeUnajua kuchombeza adi rahaa😂😂😂
Uongo, wanawake wengi hata aolewe hawezi kumsahau aliembikiri ndio maana mwanaume anaejielewa anaoa BIKRAMimi nilimuacha na hata sijawahi kumfikiria tena.
Hua mnaonaga kutubikiri ni jambo kubwa, ila si kweli.
Kwenu wanaume ndiyo kama ni kaushindi flani ila kwetu ni mwanzo tu wa safari.
Inategemea io bikra alitolewaje usidhani watu wote wanatolewa bikra vzur ukikosea kuitoa mwanamke anakuchukiaUongo, wanawake wengi hata aolewe hawezi kumsahau aliembikiri ndio maana mwanaume anaejielewa anaoa BIKRA
CC : Natafuta Ajira , Xi Jinping Rebeca 83
Mshedede TENA mambo ya wakubwa haya tukae PEMBENI🤣Mama angu ujue nini.. najaribu kua mbali nao ila sasa kuna huyo dada alinishaur mpk nihame ili aweze kuja kupata mshedede kwa uhuru
We endelea kujipa moyo tu…Uongo, wanawake wengi hata aolewe hawezi kumsahau aliembikiri ndio maana mwanaume anaejielewa anaoa BIKRA
CC : Natafuta Ajira , Xi Jinping Rebeca 83
Kukisea kuitoa ndio aje?Inategemea io bikra alitolewaje usidhani watu wote wanatolewa bikra vzur ukikosea kuitoa mwanamke anakuchukia
Nihadithie blohWe endelea kujipa moyo tu…
Kiuchumi HAkUA SAWA no JAMAA ALIKUA mfanyakazi WA serikalini SIKUMBUKI kitengo GANI ILA ukimcheki smart haswaDah walimfanyia ukatili sana sema inaonesha pia kiuchumi hakua sawa maana pesa ingekuwepo kitu kama icho kisingejitokeza…
Apo me sjui fanya tafiti utakutana na case kama izo…Kukisea kuitoa ndio aje?
Achana na usmart tatizo ni hela bro shilingi yaua…Kiuchumi HAkUA SAWA no JAMAA ALIKUA mfanyakazi WA serikalini SIKUMBUKI kitengo GANI ILA ukimcheki smart haswa