Binti wa zamani
Platinum Member
- Nov 19, 2011
- 15,052
- 36,866
- Thread starter
- #121
Baba yangu ameingiaje hapa?Baba Yako ana future Gani? Sii kukagua future za wanaume wanaojitafuta
Baba yangu ameingiaje hapa?Baba Yako ana future Gani? Sii kukagua future za wanaume wanaojitafuta
JAMAA aliji ua mapenzi ya mtoto kwa baba ni makubwa isitoshe NDO ALIKUA WA kwanza,Duuh inasikitisha sana, unaachana nao tu, sasa utafanyaje?
Haelewi ata mada leo ni jumapili wengne weshalewa just take it easyBaba yangu ameingiaje hapa?
Mimi nilimuacha na hata sijawahi kumfikiria tena.Siamini kama mwanamke anaachana na aliembikiri bila yeye kuachwa
We nawe.Mahusiano yote niliyoyavunja ni either tumeshindwana tabia, hisia zimekata or sioni future na huyo mtu.
Huwa nawaambia tu kwenye mazungumzo kama utani na baada ya hapo nasitisha mawasliano au nahama kabisa.
Mimi sipendi confrontations (magomvi) na toka nimeujua ulimwengu wa mapenzi sijawahi kuachwa.
Sijui mtu akikatisha mahusiano, upande wa aliyeachwa huwa inafeel vipi.
Vipi wewe mahusiano yako yaliyovunjika yaliishaje?
Nikwel lakin alikosea kujinyonga ishu ni aibu tu basi jamii inakuangaliaje lakin angehama ata mkoa kukimbia io hali ya kujitoa uhaiJAMAA aliji ua mapenzi ya mtoto kwa baba ni makubwa isitoshe NDO ALIKUA WA kwanza,
Maumivu ya usaliti na fedheha kwa wanaomzunguka.Uyo ni falaa sana anajinyongea nini kwani ilkuwa ndo mwisho wa maisha akili ake ilkuwa ndogo
Kutoa bikra sio ishu sabbu baada ya hapo mwanamke akishajua utamu wa ile ktu yako atataka kujua ya hussein ipoje ya juma ipoje ya hamis ipoje kwhy kutoa bikra sio big dealMimi nilimuacha na hata sijawahi kumfikiria tena.
Hua mnaonaga kutubikiri ni jambo kubwa, ila si kweli.
Kwenu wanaume ndiyo kama ni kaushindi flani ila kwetu ni mwanzo tu wa safari.
Mi nae nini?We nawe.
Angehama mkoa basiMaumivu ya usaliti na fedheha kwa wanaomzunguka.
Na NDUGU zake aliowatambulisha JE unasemaje utalipa gharama ya mtu JE muda NAO utalipa. Baba ake ALIKUA wapi KWANINI asubiri mtoto akueNikwel lakin alikosea kujinyonga ishu ni aibu tu basi jamii inakuangaliaje lakin angehama ata mkoa kukimbia io hali ya kujitoa uhai
Mbona unazungumzia wanawake tu, na wewe kama mwanaume si kuna mdada alikuanzishia kwa mara ya kwanza.Kutoa bikra sio ishu sabbu baada ya hapo mwanamke akishajua utamu wa ile ktu yako atataka kujua ya hussein ipoje ya juma ipoje ya hamis ipoje kwhy kutoa bikra sio big deal
We unaona kujinyonga ndo ilikuwa njia sahihi kwake au…Na NDUGU zake aliowatambulisha JE unasemaje utalipa gharama ya mtu JE muda NAO utalipa. Baba ake ALIKUA wapi KWANINI asubiri mtoto akue
🤣🤣🤣🤣🤣 aloooooh unataka nimwage kuku kwenye mchele wengiMbona unazungumzia wanawake tu, na wewe kama mwanaume si kuna mdada alikuanzishia kwa mara ya kwanza.
Nyie kwenu huwa inakuwaje?
Kwahiyo ndo maana kuna kipindi moni centrozone alitaka kujinyoga kisa nai huda…ila mapenziNa NDUGU zake aliowatambulisha JE unasemaje utalipa gharama ya mtu JE muda NAO utalipa. Baba ake ALIKUA wapi KWANINI asubiri mtoto akue
Itakua hayuko sawaHaelewi ata mada leo ni jumapili wengne weshalewa just take it easy
KabisaItakua hayuko sawa
Siyo rahisi hivyo, mtoto anauma sana. Hata ukihama huwezi kusahau kirahisiAngehama mkoa basi
How do you feel having kids in the street while you don't know them? Na kingine ninachoshangaa hao wanawake uliozaa nao kutokujulisha kuwa wana watoto na wewe wala kujisumbua watoto wao wamjue baba yao🤔ni kweli kabisa
Sasa angefanyaje jamn ndo maana kuna wanasaikolojia sababu ya matatizo kama hayo yule alitakiwa kuwahiwa kuekwa chini na kupewa moyo tu kwamba ayo ni mambo ya kawaida…Siyo rahisi hivyo, mtoto anauma sana. Hata ukihama huwezi kusahau kirahisi