Sijawahi kuachana na mtu kwa vita au ugomvi, mliachanaje na ex wako wa mwisho?

Nmekumbuka ILE STORI ya yule JAMAA aliezaa na mwanamke kulea mtoto pamoja. Mtoto kakua kijana kaitwa na mama MKWE. Akaambiwa samahani kijana wangu nmekuficha muda mrefu ILA Leo nimeona nikuweke wazi KUWA HUYO mtoto SI WAKO, baba ake YUPO anamtaka mwanae SASA WEWE piga HESABU gharama ulizo ingia tukurudishie HELA ZAKO tuondoke umuache mtoto Aende kwa baba ake harisi mwanangu alikufichaga TU kua mtoto SI WAKO..... Hata kama ni WEWE utamfanyaje HUYU BINTI na mama ake
 
Mahusiano yote niliyoyavunja ni either tumeshindwana tabia, hisia zimekata or sioni future na huyo mtu.
Huwa nawaambia tu kwenye mazungumzo kama utani na baada ya hapo nasitisha mawasliano au nahama kabisa.

Mimi sipendi confrontations (magomvi) na toka nimeujua ulimwengu wa mapenzi sijawahi kuachwa.
Sijui mtu akikatisha mahusiano, upande wa aliyeachwa huwa inafeel vipi.

Vipi wewe mahusiano yako yaliyovunjika yaliishaje?
Baba Yako ana future Gani? Sii kukagua future za wanaume wanaojitafuta
 
Nmekumbuka ILE STORI ya yule JAMAA aliezaa na mwanamke kulea mtoto pamoja. Mtoto kakua kijana kaitwa na mama MKWE. Akaambiwa samahani kijana wangu nmekuficha muda mrefu ILA Leo nimeona nikuweke wazi KUWA HUYO mtoto SI WAKO, baba ake YUPO anamtaka mwanae SASA WEWE piga HESABU gharama ulizo ingia tukurudishie HELA ZAKO tuondoke umuache mtoto Aende kwa baba ake harisi mwanangu alikufichaga TU kua mtoto SI WAKO..... Hata kama ni WEWE utamfanyaje HUYU BINTI na mama ake
Ataukifanya icho chakuwafanya haisaidii kitu wala haipunguzi ayo maumivu mtoto tayari sio wako we tuliza tu akili basi
 
Mahusiano yote niliyoyavunja ni either tumeshindwana tabia, hisia zimekata or sioni future na huyo mtu.
Huwa nawaambia tu kwenye mazungumzo kama utani na baada ya hapo nasitisha mawasliano au nahama kabisa.

Mimi sipendi confrontations (magomvi) na toka nimeujua ulimwengu wa mapenzi sijawahi kuachwa.
Sijui mtu akikatisha mahusiano, upande wa aliyeachwa huwa inafeel vipi.

Vipi wewe mahusiano yako yaliyovunjika yaliishaje?
Siamini kama mwanamke anaachana na aliembikiri bila yeye kuachwa
 
Nmekumbuka ILE STORI ya yule JAMAA aliezaa na mwanamke kulea mtoto pamoja. Mtoto kakua kijana kaitwa na mama MKWE. Akaambiwa samahani kijana wangu nmekuficha muda mrefu ILA Leo nimeona nikuweke wazi KUWA HUYO mtoto SI WAKO, baba ake YUPO anamtaka mwanae SASA WEWE piga HESABU gharama ulizo ingia tukurudishie HELA ZAKO tuondoke umuache mtoto Aende kwa baba ake harisi mwanangu alikufichaga TU kua mtoto SI WAKO..... Hata kama ni WEWE utamfanyaje HUYU BINTI na mama ake
Duuh inasikitisha sana, unaachana nao tu, sasa utafanyaje?
 
Back
Top Bottom