Binti wa zamani
Platinum Member
- Nov 19, 2011
- 15,052
- 36,866
- Thread starter
- #141
Ndiyo, mna ujasiri wa kuzungumzia mambo yetu wanawake, ila yenu aanhaaa anhaa🤣🤣🤣🤣🤣 aloooooh unataka nimwage kuku kwenye mchele wengi
Ndiyo, mna ujasiri wa kuzungumzia mambo yetu wanawake, ila yenu aanhaaa anhaa🤣🤣🤣🤣🤣 aloooooh unataka nimwage kuku kwenye mchele wengi
Bora waniuwe tuuuHawa wamama watu wazima watakuua 😂
Umenogewa mwanangu, nilikuambia mishangazi siyo mizuri, joto lao likishakunogea huwaachi 😂Bora waniuwe tuuu
Kuongea Bikra kwa mwanamke ni kawaida dunian kote… uwez kuta sehem wanazungumzia swala la mwanaume sku ya kwanza kufanya mapenz ilikuajeNdiyo, mna ujasiri wa kuzungumzia mambo yetu wanawake, ila yenu aanhaaa anhaa
Si kwa sababu mnajua wenyewe huwa ni vituko tu mpaka mnaona aibu kusema.Kuongea Bikra kwa mwanamke ni kawaida dunian kote… uwez kuta sehem wanazungumzia swala la mwanaume sku ya kwanza kufanya mapenz ilikuaje
Tena tukikuta mwanaume anasema sku ya kwanza mimi kufanya ilikuwa ivi na ivi inabidi tumuwahishe ile hospital ya kule dodoma…Kuongea Bikra kwa mwanamke ni kawaida dunian kote… uwez kuta sehem wanazungumzia swala la mwanaume sku ya kwanza kufanya mapenz ilikuaje
Kosea kutuma muhamala na simplifiedNamiss uno la mdigo wangu nafanyaje kumrudisha....nisaidieni jamani
Vituko gani wakati nyie ndo mnakuaga wasumbufu hamtulii kwenye kiiiii ikianza kuwekwa tu mnarudi nyuma unaambiwa tulia kila ikiwekwa unarudi nyumaSi kwa sababu mnajua wenyewe huwa ni vituko tu mpaka mnaona aibu kusema.
Oyaaa muamala unaliwa na mtu haji broKosea kutuma muhamala na simplified
Oya weeh nipo hapa Apostle utakuja kutoa ushuhuda
N.b
Zingatia muhamala.
Kwahyo baada ya kunipiga chini kimya kimya ndo umeamua kuja kujigamba humu. Malipo ni hapa hapa DunianiMi nae nini?
Polee mamen kumbe kazi ni yako aiseeKwahyo baada ya kunipiga chini kimya kimya ndo umeamua kuja kujigamba humu. Malipo ni hapa hapa Duniani
We siku ya kwanza ulikua unaweka au unatetemeka tu, si ajabu karungu kako kalivyoingia tu, kakakutana na ile hali mule ndani wazungu waliruka!Vituko gani wakati nyie ndo mnakuaga wasumbufu hamtulii kwenye kiiiii ikianza kuwekwa tu mnarudi nyuma unaambiwa tulia kila ikiwekwa unarudi nyuma
Kitaalamu sana hii 💯 😂 🙌Kosea kutuma muamala na simplified
Oya weeh nipo hapa Apostle utakuja kutoa ushuhuda
N.b
Zingatia muamala.
Inaumiza SANA Kuna mademu unakuwa unawakataa usiamini una pisi ndani ukicheki RAFIKI ZAKO familia zao unamzidi KUPATA msongo WA mawazoKwahiyo ndo maana kuna kipindi moni centrozone alitaka kujinyoga kisa nai huda…ila mapenzi
Sema kitendo cha kulamba sumu au kula kenchi ni udhaifu bn😂Inaumiza SANA Kuna mademu unakuwa unawakataa usiamini una pisi ndani ukicheki RAFIKI ZAKO familia zao unamzidi KUPATA msongo WA mawazo
Unakosea tena 😂Oyaaa muamala unaliwa na mtu haji bro
Muamala autumwi dawa ni kumloga tu😂😂Kitaalamu sana hii 💯 😂 🙌
Dawa ni kumloga tu mazima kumfunga au kumrudisha mpenzi😂😂😂Unakosea tena 😂
Kaka ACHA TU mapenzi ya mtoto kwa baba yake tuishie TU hapooSema kitendo cha kulamba sumu au kula kenchi ni udhaifu bn😂
Mama angu ujue nini.. najaribu kua mbali nao ila sasa kuna huyo dada alinishaur mpk nihame ili aweze kuja kupata mshedede kwa uhuruUmenogewa mwanangu, nilikuambia mishangazi siyo mizuri, joto lao likishakunogea huwaachi 😂