KIKI CORAL
Senior Member
- May 10, 2023
- 183
- 313
KARIBU WAKATI WOWOTETuko mjini mmoja kumbe.
Takutembelea
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
KARIBU WAKATI WOWOTETuko mjini mmoja kumbe.
Takutembelea
Khee!
Hapana but Iam single now.
Akitokea church man nampenda nadinywa tu.
Modern mithali lady🤣🤣🤣Yes but Iam a modern mithali lady.A dinywable one!
Baelezee bajue!Siwezi kusema kiundani ila kutokana na sababu fulani fulani amepata picha mbaya kuhusu mimi.Kibinadamu yuko sawa kudhani niko hivyo wala hana makosa ila kiuhalisia siko anavyodhani tatizo yeye sio Mungu kuona ambavyo upeo wa macho ya binadamu hauwezi kuona.Kinachoniuma ni kwamba nampenda sana na amekua mtu mzuri sana kwangu ila sina jinsi yakumtoa imani mbaya aliyoijenga juu yangu.
Vitalis Msungwite hii
Modern mithali lady[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Uko single mama.. vp naeza zama DM tusemezane kidogo.Ni kweli niliikua namkubali mwamba na sio sizitak mbichi hizi bali siwez kushinda namuwaza nikilia wkt huko aliko keshanisahau anacheka na kufurahi na mpenz wake mpya.
Nimekua humble kiasi cha kusema hapa kuwa alikua na haki yakunione alivyo niona sasa unataka niwe humble vipi zaidi ya kukiri na kukubali kuwa kweli nilimkosea?
Yeye aende tu nishakubali kuwa Iam single now na namtakia heri huko aendako.
Uzi tyr?
walokole na umalaya hamjambo.sikia dada bwanawako amepata taarifa kuwa kanisani Kuna kiongozi ana kufukuzia Sasa sijui ni mpiga kinanda au muhasibu au baba mchungaji mwenyewe?wewe ndio utakuwa na jibu sahihi.
hata Mimi mkewangu siwezi kukubali ajifanye mtu wadini sana kumbe nichakula Cha viongozi kwenye ibada zao
hatakama hujaliwa ila kutompa taarifa kuwa ibadani Kunamtu anakutongoza hilo nikosa mana mtongozaji akiongeza siraha za mashambulizi utaliwa na itakuwa ndio tabiayako.
mwamba Yuko sahihi kukuacha.