Yoda
JF-Expert Member
- Jul 22, 2018
- 64,960
- 111,265
Katika mambo ya imani ambayo kwangu yamekuwa ni magumu mno kuyaelewa ni kuhusu mungu kuruhusu kuteseka kwa watoto.
Watu wazima wakiteseka unaweza kusema labda wamestahili kwa sababu hadi mtu afikie kuwa mtu mzima lazima kuna maovu na dhambi atakuwa ametenda mahali fulani tu, wengine wanasema watu huteseka kama sehemu ya mtihani au majaribu kutoka kwa Mungu.
Suala la watoto kuteseka ndio huwa sielewi maana yake ni ipi katika muktadha wa imani na Mungu.