Sijawahi kufika kileleni

Sijawahi kufika kileleni

Jenu

Member
Joined
Feb 10, 2013
Posts
70
Reaction score
44
Nisaidieni wanaJF,

Mimi ni mwanamke nina miaka 35, nimeshakuwa na mahusiano mengi tu, lakini hakuna hata mmoja aliyewahi kunifikisha, mpaka naanza kukata tamaa ya kuwa na mpenzi wa jinsia ya kiume.

Nisaidieni nifanyeje? Maana naona naelekea kubaya.
 
Dah pole sana kumbe miaka yote hiyo ujawahi fika kunako...
 
::
Kumradhi lakini nakuuliza swali ambalo usitoe jibu hapa,,jibu iwe siri yako
Je,umekeketwa? Kama ndiyo inaweza kuwa sababu pengine ingawa si lazima.
Ila kama hapana basi maelezo yatakuwa mengi.
=
 
Nisaidieni wana jf,Mimi ni mwanamke namiaka 35,nimeshakuwa na mausiano mengi tu,lakini hakuna hata mmoja aliyewahi kunifikisha,mpaka naanza kukata tamaa ya kuwa na mpenzi wa jinsia ya kiume,nisaidieni nifanyeje? Maana naona naelekea kubaya

Pole,
Subiri wajuzi wenye uweredi na ujuzi wanakuja kukupa suruhu!
 
Utapata wasaidizi wengi tu wa kukufikisha....subiri maexpert wanakuja
 
Nisaidieni wana jf,Mimi ni mwanamke namiaka 35,nimeshakuwa na mausiano mengi tu,lakini hakuna hata mmoja aliyewahi kunifikisha,mpaka naanza kukata tamaa ya kuwa na mpenzi wa jinsia ya kiume,nisaidieni nifanyeje? Maana naona naelekea kubaya
sorry dadaa kama hutojali nitafute 0718054948,Nina hakika nitakusaidia wala si utani
 
ukishikwa popote pale hupati hisia bidada?,ngoja tuanzie hapo kwanza
 
Sasa usaidiwe kugukishwa kileleni ama tutafute kwanza mchumba? Manake uko desperatena kila kitu!
 
Sasa usaidiwe kugukishwa kileleni ama tutafute kwanza mchumba? Manake uko desperate tena kila kitu!

Hajitambui na nina wasiwasi ni mfanyabiashara wa kipochi manyoya.
Kila thread moja lazima akamate kondoo wa kutosha na ndio maana ni nadra kumuona kwenye threads nyingine akichangia.
Ole wao wale wanaume ambao vifanyio vyao havijatulizwa kwenye pichu, maana wengi wao watachinjiwa baharini.
 
kuna kaUONGO katumia amejuaje kuwa kuna kufika kileleni. Kileleni ni wapi, ni lazima alishafikishwa km sio na Mwanamume basi ni kwa vidole,maji ya moto, ndizi/tango nk

Yeye angeomba aeleweshe Squirt, Orgasm & Ejaculation Mwishowe tutammalizia na Katere** au Kunyanzi Lakini asidanganye hajawahi fika au fikishwa kileleni.
 
Dah pole hebu njoo uwe nami mwezi1 nikupe malovee ya kufa mtu

mhm kama unaweza nionyesha kwenye dating histiry yako ulishawahi kuwa katika sexmate relationship na huku develope feelings hapo tutaweza anza kuongea
 
Mbona huwa unapokea hela zao sasa?
Na jamaa yko kakuanzishia thredi eti unayo pana.
 
Back
Top Bottom