High Vampire
JF-Expert Member
- Nov 17, 2012
- 2,915
- 2,134
pole sana npm nikupe mambo ufurahie unakosa mambo muhimu ambayo ni haki yako
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
duh!!,umekeketwa??
Ivi ni kweli kuna uhusiano kati ya kukeketwa na kutokufika kileleni? Mbona mi nna kazi mbili za kijaruo na moja ya kigogo zote hazina kaseja lakini mara zote nnapokutana nao uwa nawapa mambo mpaka wanakubari na mmojakati ya wajaruo uwa anapiga kelele na kugeuza macho utafikiri anakata roho muda si mrefu? Mi nadhani tatizo ni maandalizi na ubunifu tu.
Nisaidieni wana jf, Mimi ni mwanamke namiaka 35 ,nimeshakuwa na mausiano mengi tu, lakini hakuna hata mmoja aliyewahi kunifikisha,mpaka naanza kukata tamaa ya kuwa na mpenzi wa jinsia ya kiume,nisaidieni nifanyeje? Maana naona naelekea kubaya

Kwa hiyo mashine imeshakwenda miles za kutosha?
wapo wanawake ambao hawafiki kileleni.karibu huku uchagani uwaonemnh hamna mwanamke asiyefika duniani,usitudanganye hapa kama uongo jaribu mastabesheni uone kama hutafika,cha muhimu ni kumuambia guy wako sehemu zinazokufikisha,wanaume nao ni watu kufanya makosa kitandani ni acceptable wao sio wapiga ramli:shut-mouth: