Sijawahi kujutia kwenye maisha yangu, mpaka siku niliyokutana na yule Mzee

Mkuu naomba link niisome
 
"Unaweza ukampenda sana mtu, ila katika namna ya kumuonesha upendo wako ukajikuta unaharibu. Na ubaya ni kwamba jamii haiangaliagi nia, inaangalia matokeo. Watahukumu kulingana na matokeo ya ulichofanya, hata kama nia yako ilikuwa njema".

Shukrani sana kwa muda wako nimepata portion yangu,Mungu aendelee kuzibariki harakati zako na kizazi chako. Naamini una mengi ya kuwafundisha watoto na wajukuu zako siku za usoni.
 
Subiri kidogo mkuu!
komando kipensi kwenye hii muvi ni nani, wewe, mshua wako, Mzee dingi au kesho yetu?
 
Imeisha kinyonge sana Analysis
 
Asante Analyse hatimaye tumemaliza, ila tu from the beginning to the end siamini nimekosa mtu wa kunitag🤣🤣🤣🤣 Hakika mjini ni connection.
 
Anza nyingine
 
Shukrani sana mkuu Analyse .
Natumaini huu sio mwisho wa kutuletea simulizi zako tamu hapa jukwaani.,hasa zinazomhusisha mshua wako,napenda sana busara zake.
ciao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…