Sijawahi kujutia kwenye maisha yangu, mpaka siku niliyokutana na yule Mzee

Aise
Aiseee hii part imenipa kufikiri tena namna naishi na mama yangu
Shukran sana
 
Mshua: "Bwana mdogo, siku zote nakwambia hakuna aliyezaliwa kwa ajili ya matatizo yako. Mtangulize Mungu siku zote. Hata yule unayeona anatakiwa akusaidie, na yeye kuna sehemu anahitaji kusaidiwa. Usipolielewa ilo, utamchukia kila mtu"

Daaah, hapa msee alinena kweli tupu. Maana unaweza kumuona Mwamba anafaa kukusaidia, kumbe na yeye kuna Mwamba anataman amsaidie ha ha haaaa mouma sana.
 

My friend Analyse , this is the best story I have ever read on this forum, especially the last conversation you had with your old man. I am grateful, thankful, amazed, humbled and graced by the events in your life. Well, there is so much to learn on your adventures in life. Behalf, I look forward to the next upcoming tales. Until then stay health and thank you for the tagging. Take care. .

Best, Gily
 
Hii stori Ina mafunzo mengi sana nimepata..... Barikiwa kwa uandishi wenye viwango.....
 
@Antonnia huwezi amini nilipause story zote zinazoendelea ili nipate madini ya humu hakika mzee wako Analyse anabusara sana na asante kwa mafundisho
 
Mi mwenyewe hii sehemu imenigusa Sana.
 
Yap,kaimaliza kinyonge sana,nadhani naye Kuna sehemu za mwishoni zilimtach kihisia akaamua kuhitimisha, anyways shukran sana,kwa story yako nzuri,najua ulipo leo ni maamuzi ya hayo mazungumzo na mzee wako mwishon,uliamua kuanza upya chapter of your life na naamini uko sawa kwa sasa,sio tajiri,sio maskini aka mnyonge ila unaishi sasa, you're living,and not existing 🙏🙏 hongera sana we learn from mistakes.
Imeisha kinyonge sana Analysis
 
Ila nyie wenye baba mnapata sana faida kuliko sisi ambao hata hatukuwahi kuishi na baba zetu...kuna hayo maneno ya huyo mzee wako kiukwel yana maana kubwa sana
Daah kweli tunajifunza kupitia wazee wengine... mi mzee wangu sijawahi kuongea nae lolote la maana yani tunakutana tu juu kwa juu kila mtu na mishe zake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…