Sijawahi kujutia kwenye maisha yangu, mpaka siku niliyokutana na yule Mzee

Umeupiga mwingi sana brother. Ilikua ni punch after punch. Hii episode ya mwisho naicopy kabisa, naisevu kwenye archives zangu kwaajili ya rejea!

Kudos!
 
Nimesoma hii part ya kukimbizana nimecheka kwa nguvu usiku huu hadi nimeamsha kakichanga kangu, apostle tutasaidiana kukesha leo.....niliimiss sana hii story kipindi nipo offline dah finally leo niisome yote
Usijali, acha tukeshe tu πŸ˜…πŸ˜…
 
What a great story tellerπŸ˜ŠπŸ™
Nilikua nakuelewa immediately hata bila kusoma between the lines. Nilikua nawashangaa wabishi wanabisha hadi sehem ambazo umetoa details san imebaki ku connect dots tu.

One thing... I get that your family (pop +ma) is somewhere around lake zone kule(portin about kumpeleka bi mkubwa bugando hosp) ... Could be sengerema, nyanchabakenye but not so sure sometimes nilikua nadhani ni kati ya tanga, pwani kulingana na ulivyokua unaflow

Analyse pound this🀜
 
Hadith nzur sana, Hivi haya uloambiwa na mshua uliyaandika kwenye note book siku unaambiwa au unatusimulia ukiwa ukiyakariri
 
Mkuu nilikuuliza.... .inamaana gani au madhara yake ni nini mtu akikuchota mchanga?
Mtu akichukua alaf akaenda kufanyia mambo yetu ya kiswahili, unaweza kupoteana mazima. Labda na ww uwe vizuri.

Kwenye hii Dunia, wanaotamba ni either wapo kwa Mungu, au wapo kijadi. Walio neutral hakuna rangi wanaacha kuona πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
 
Pamoja sana master πŸ‘Š
 
Nimemaliza hatimaye, mkuu ubarikiwe kwa story nzuri haichoshi. Whats great ina mafunzo ya kutosha na madini mengi sana hasa kwa sisi vijana ambao bado tunaostruggle na maisha.
Madini ya mzee wako na yule mzee wa kongowe is a life changer kabisa kama unaisoma story kwa kuelewa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…