Sijawahi kujutia kwenye maisha yangu, mpaka siku niliyokutana na yule Mzee

Wee analayse umetuacha njiani
 
Yule mama mwenye nyumba(mstaafu) mlipata kuonana au mmepoteana mazima? Mzee dingi/Kidevu/Mwanasheria feki na Kesho yetu nao ulipata kugongana nao?
Mzee Dingi na mstaafu sijawahi kabisa kuonana nao tena. Nilishawahi kukutana mara moja na Mzee Kidevu, sikutaka hata story nae, nikamkimbia tu.

Mzee Kesho Yetu nilikutana nae mara mbili, mara ya kwanza hatukuongea chochote, mara ya pili nilikuwa kwenye kikao cha harusi, akaja ili wajumbe wamuone, yeye ni MC
 
Watu wanataka connection ya waganga jmn πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Hujaacha tu tabia zako za kunyapia nyapia.. yani ID 10, 8 ni mademπŸ™ŒπŸ™Œ
πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜… Tatizo unakuja kwa kushtukiza. Kitengo Cha kutag ni Cha head prefect wa JF, ila bahati mbaya Yuko busy kidogo
 
Mzee KY unamfananisha na nani kati ya hawa watu wawili;

(i)Raymond Reddington wa "The Blacklist"
(ii)Professor wa "La Casa de Papel"
Ky hana akili ya hata mmoja hapoo.....

We hukumbuki kuna episode Raymond alifulia akawa mwizi wa Magari ika hakuchukua mda mrefu akarudi Top [emoji3][emoji3][emoji3]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…