Sijawahi kujutia kwenye maisha yangu, mpaka siku niliyokutana na yule Mzee

19th portion sijaiona..naomba mnitag niweze kupata chakula cha akil na roho
 
Mr. Analyse, hii hadith imeisha?
 

Hii Portion ni Home of Wisdom [emoji115][emoji115][emoji115]
 
Mkuu Analyse kwa heshima na taadhima naomba nikupongeze kwa huu Uzi. Full Mass Nondo [emoji109][emoji109][emoji109]
Nashkuru kwa appreciations kaka. Pia nakupa hongera kwa Kudedicate time yako kupitia hizi story. Wiki nzima naona upo na threads zangu tuπŸ™πŸ½πŸ™πŸ½πŸ™πŸ½πŸ™πŸ½
 
Muuza Viat link zipo hapa
 
Uncle Rayns ukimaliza hizo, uje ucheke huku ila ujishikilie usikufe bwana kwamaana
 
Kuna kigongo kipya kitaingizwa Jf kwa mara ya kwanza kabisa.
Wale wapenzi wa vitu vya kijasusi vilivyoshiba msikose hii kitu ..(MABADUNI WA SERIKALI).
Kigongo kina sura sita tu, na bado sura mbili kikamilike.


Ningepost lakini naijua arosto ya wadau humu wanaweza kukuombea dua mbaya hivyo naiheshimu sana hadhira.
Wakosoaji wasikose, narudia tena, wasikose. Maana wanaleta ukamilifu ambao nautaka...
SOON TO BE THERE.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…