Sijawahi kujutia kwenye maisha yangu, mpaka siku niliyokutana na yule Mzee

Dah! Dah! Dah!

Nimecheka hadi machozi 🀣🀣🀣🀣🀣

Mchaga alivyokukata mbata kama vile humlipi, then ukija tena kwenye mtego wa babaako shule
 
Duuuuu,balaaa linakuja,Asante boss
 
Stori iko poa kwangu kwani nilisoma Tanga Tech japo longtime lakini maeneo yote ya Jiji la Tanga nayapata vilivyo...
 
"Mwana" umenifanya nicheke hadi machozi ya furaha yamenitoka...
 
Na mim nishawah peleka mzazi fake shule niliambulia viboko tu [emoji23][emoji23][emoji23] utundu huu jamani
Umenikumbusha
Hadi wewe kumbe? πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
 
Nimecheka sana πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ hata sikumpanga vizuri halaf kulikuwa na ticha mmoja anamjua aunt yangu we acha tu
Mchaga alihitaji nimpe summary tu ya nilichofanya, mengine alienda kujiongeza pale pale πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
 
Hapa kama hukupigwa ndoige basi sogwinyo ilikuhusu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…