Sijawahi kujutia kwenye maisha yangu, mpaka siku niliyokutana na yule Mzee

Hope shule ilikua ni USA BOYS kwa Saadan na Chambo
 
tanga wewe usijitoe ufahamu ushaambiwa mchaga alikuwa nguvumali njia ya galanos ww unaenda arusha kufanya nn
We ndo hujui kitu ila waliopita USA Boys wanaelewa sijamaanisha USA ya Chuga hii ni Usagara Sec tunaiita Usa Boys kwakua Advance ina Boys tu na ina Hostel mbili moja ndan ya Shule ingine iko Town nako ziko mbili kwenye Compound moja,ipo karibu na hyo bustan ya Uhuru park,so punguza ujuaji bro
 

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]huko mwishoni ni jinsi gani bimkubwa wako alivyokuona mfuska
 
Hahaha ila nikukumbushe tu, theluthi ni kubwa kuliko robo.
 
Yaani hapo kwenye β€œsema jembe langu” nilijenga picha ya mchagga fulani hivi ana mbwembwe sanaa afu mpenda hela sana [emoji28]
Mchaga alikuwa mbobezi katika kukodishwa yule πŸ˜…πŸ˜…
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…